I Love My Husband

I Love My Husband

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
602121_422468804496586_379950826_n.jpg
 
Unakwenda na mlo kabida au ndo zawadi za kitchen party
 
Mwe mwe mwe mwe!! Huyo hata akifumania mume na mwanae wa kuzaa, hataacha mume!!
 
Mwanamke huyo mtata anatoka sokoni & torori.
 
Wameisha hawa!! Hamna wa namna hii tena gademu
 
wa hivyo ndio huwaibia wazazi .....yakiwashinda huko walipo huona aibu kurudi tena kwa wazazi,hung'ang'ania kwa mume mpaka huruma lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom