I love money more than myself

Hata mimi ningekuwa na mwili na roho kama yako ningekuwa kama wewe. YES, huna thamani ya hela kwa hiyo ni nafuu kwako kujibadili nazo.
 
mara hufikishwi kileleni nk! Kumbe hufikishwi kwa sababu mawazo yako yako kwenye pesa!
 
Unanikumbusha G Mpoleee... But nway money isnt everything dear.. It only gives u opportunities and choices.. Waweza zipata halafu ukajutia...na usiwe na furaha nazo! Watch out!
 
Kwa hiyo ukipewa hela ya maana uko radhi mwili wako ufanywe chochote tu huna habari nao?
 
Hivi vijukuu vilivyomaliza fomfour vimehama kule kwa feisbuku
vinaleta zarau humu, wewe huku wapo wakubwa zako uwe na
adabu, unasikia eeh.
 
Hivi vijukuu vilivyomaliza fomfour vimehama kule kwa feisbuku
vinaleta zarau humu, wewe huku wapo wakubwa zako uwe na
adabu, unasikia eeh.

Yaani huko tuenadeko tufanye pre entry test inakera, tuna mangapi mazito ya kuwaza watu wanaleta utoto!
 
Unanikumbusha G Mpoleee... But nway money isnt everything dear.. It only gives u opportunities and choices.. Waweza zipata halafu ukajutia...na usiwe na furaha nazo! Watch out!

Tangu nianze kusoma thread zake namfananisha na G Mpoleeee... Kabisa yani! Na nimeshawahi kumwambia...

Ila... huyu hayupo hapa kwa ushauri... Yupo kwa kujinadi tu..
 
Kuna nani asiye penda mkwanja ? Labda nikukumbushe hata COFFIN , SANDA, kuvipata ni Mkwanja tu!
No Money no COFFIN !
Siku pakianzishwa Jf Bongo star serch , ya wapenda Money mimi naweza chukua nafasi ya kwanza, na wewe hata kwenye 10 bora sidhani.
 
Tangu nianze kusoma thread zake namfananisha na G Mpoleeee... Kabisa yani! Na nimeshawahi kumwambia...

Ila... huyu hayupo hapa kwa ushauri... Yupo kwa kujinadi tu..

biashara ni matangazo trey... (hilo trey ndo new nick name for u, ID yako ndefu bana)
And jane pengine kaona anapata wateja humu.... Wengine wanaponda halafu usikute baadae wanamPM kwanini asiache promo...lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom