I love loving you | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I love loving you

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Speaker, Sep 7, 2011.

1. Speaker

Speaker JF-Expert Member

#1
Sep 7, 2011
Joined: Aug 12, 2010
Messages: 6,357
Likes Received: 21
Trophy Points: 135
I love loves,and i hope you do too.
That is why i love loving you.

I fell in love with you for the first time i set my eyes on you,
I even risked making a risk of myself.

I fell in love with you again when i smiled and you smiled back.
I fell in love with you when you listened to my story.
Again,i fell in love with you when you trusted me with your life.

I fell in love with you when you said am yours forever,you remember that day?
I love loving you.

Yes,i love loving you because despite of all my weaknesses,all my failures,
all my falls,all my faults and my errors of judgement,i have been blessed to have
you in my life.

Another dream has done its best to come true.
Thank you for accepting to be an integral part of my dream,my wishes,
my aspiration and my hopes.
Thank you for being so patient with me since am not a perfect individual.

I don't have what it takes to know what is in tomorrow,but
i can't wait to see what is in it for us.

I love loving you,be mine forever.

2. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#2
Sep 7, 2011
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,826
Likes Received: 22,465
Trophy Points: 280
thank you for usefull post

3. Shantel

Shantel JF-Expert Member

#3
Sep 7, 2011
Joined: Feb 7, 2011
Messages: 2,021
Likes Received: 24
Trophy Points: 0
Vitu vingine kweli vinapendeza kwa lugha ya wenzetu tu
embu tafasiri kwa kiswahili uone inakuwaje lol
nimeipenda, i dedicate it to someone spesho

4. Speaker

Speaker JF-Expert Member

#4
Sep 7, 2011
Joined: Aug 12, 2010
Messages: 6,357
Likes Received: 21
Trophy Points: 135
hahaha,kiswahili kina upungufu sana wa maneno ya mapenzi.
ila inaweza sound fresh.

"Napenda mapenzi,natumai unapenda pia.
Ndo maana napenda jinsi ninavo kupenda.

Nilikupenda kwa mara ya kwanza pale tu nilipo kuona,
na nilidiriki kuja kwako mzima mzima bila kutafakari.

Nilikupenda tena pale nilipo tabasamu nawe ukajibu kwa tabasamu mwanana,
Nilikupenda zaidi pale nilipo kusimulia nawe ukawa msikivu kwa habari zangu.
Na tena,nilikupenda zaidi pale ulipo niamini na kunipa maisha yako.

Nilikupenda tena pale ulipo niambia kwamba mimi ni wako wa maisha,
unakumbuka siku hiyo?
oh,napenda sana jinsi ninavo kupenda.

Ndio,nakupendsa sana kwa sababu pamoja na mapungufu yangu yote,
kushindwa kwangu katika mambo mbali mbali,udhaifu wangu katika kuhukumu mambo
bado sio kitu ila nimebarikiwa kuwa na wewe maishani.

Hii ni ndoto nyingine tena iliyo jidhihirisha kuwa kweli.
Asante sana kwa kukubali kuwa sehemu muhimu ya malengo yangu,
matumaini yangu na zaidi ya yote,sehemu muhimu ya ndoto zangu.
Mimi si mkamilifu,ila nashukuru sana kwa uvumilivu wako kwangu.

Sina uwezo wa kujua kesho yetu itakuaje,ila ni maombi
yangu kwamba niione kesho yetu itakuaje tukiwa pamoja.

Tafadhali,naomba uwe wangu daima"

Ops,kumbe hata kiswahili kinadunda fresh tu mbona haha

5. King'asti

King'asti JF-Expert Member

#5
Sep 7, 2011
Joined: Nov 26, 2009
Messages: 27,508
Likes Received: 2,249
Trophy Points: 280
the feeling is mutual clemmy, i love loving ur love

6. Shantel

Shantel JF-Expert Member

#6
Sep 7, 2011
Joined: Feb 7, 2011
Messages: 2,021
Likes Received: 24
Trophy Points: 0
Nimeikopi hii naenda muuzia shigongo aweke kwenye zile hadithi zake ndeeefu, thanks ila kiswahili mhhh sio kama kidhungu

7. Angel Msoffe

Angel Msoffe JF-Expert Member

#7
Sep 7, 2011
Joined: Jun 21, 2011
Messages: 6,797
Likes Received: 74
Trophy Points: 145
Bana we Inabidi na majina ya wanaolaviwa yawekwe ili ujumbe uwafikie.

8. Mr Rocky

Mr Rocky JF-Expert Member

#8
Sep 7, 2011
Joined: Oct 10, 2007
Messages: 15,186
Likes Received: 570
Trophy Points: 280
Iko mahali pale na na naidedicate to someone I love

9. klorokwini

klorokwini JF-Expert Member

#9
Sep 7, 2011
Joined: Dec 2, 2009
Messages: 8,710
Likes Received: 49
Trophy Points: 135
nabisha, hata kiswahili ukiamua kinatulia bana, hebu cheki hii mistari

Mpenzi waniumiza, nionapo macho yako
Hakika yaniliwaza , laini sauti yako
Katu sichoki kuwaza, umbile la mwili wako
Ewe ulienifunza , nathamini pendo lako

Nafurahi nikiona, pepesa za macho yako
wapendeza tena sana, hakuna mfano wako
Kauli mwenzio sina , nichukue uendako
Nikiita lako jina , naisha nguvu mwenzako

Source: Klorokwini
Niendelee au imetosha?

10. Shantel

Shantel JF-Expert Member

#10
Sep 7, 2011
Joined: Feb 7, 2011
Messages: 2,021
Likes Received: 24
Trophy Points: 0
Kwa kweli nilipofika ubeti wa pili tu machozi yamenitoka
lini tunaenda spesho moment na sie klorokwini

11. klorokwini

klorokwini JF-Expert Member

#11
Sep 7, 2011
Joined: Dec 2, 2009
Messages: 8,710
Likes Received: 49
Trophy Points: 135
Nategemea kupata loan next week. stay tuned! anza kuchagua venue kabisa

12. BantuGirl

BantuGirl Senior Member

#12
Sep 7, 2011
Joined: Apr 10, 2008
Messages: 157
Likes Received: 5
Trophy Points: 35
natamani hii poem ingekuwa mahususi kwangu ili nilale unono, mwe!

13. Shantel

Shantel JF-Expert Member

#13
Sep 7, 2011
Joined: Feb 7, 2011
Messages: 2,021
Likes Received: 24
Trophy Points: 0
sie wa kisasa tutachanga au vipi,mie nataka kulekule

14. Shantel

Shantel JF-Expert Member

#14
Sep 7, 2011
Joined: Feb 7, 2011
Messages: 2,021
Likes Received: 24
Trophy Points: 0
hahahahaaa buntu, bahati ya mwenzio ............

15. BantuGirl

BantuGirl Senior Member

#15
Sep 7, 2011
Joined: Apr 10, 2008
Messages: 157
Likes Received: 5
Trophy Points: 35
we acha tu Shantel, nimebakia kutumbua mimacho tu

16. R

Rah Gancho Member

#16
Sep 7, 2011
Joined: Sep 3, 2011
Messages: 6
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

17. R

Rah Gancho Member

#17
Sep 7, 2011
Joined: Sep 3, 2011
Messages: 6
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

.dat true!bt u ddct 2 ho?

18. klorokwini

klorokwini JF-Expert Member

#18
Sep 7, 2011
Joined: Dec 2, 2009
Messages: 8,710
Likes Received: 49
Trophy Points: 135
Umefanya la maana kweli kutokutaja jina, maana hawa wambea wa JF na hivi vidada vyengine vinavyonimaindi mala vinaweza vikajileta bila kualikwa. Acha nifanye booking! ukuje na energy ya kutosha , mwenzio nimetoka kwenye mfungo.

19. Shantel

Shantel JF-Expert Member

#19
Sep 7, 2011
Joined: Feb 7, 2011
Messages: 2,021
Likes Received: 24
Trophy Points: 0
haya bwana unapenda utamaduni au kiwestern, nataka niwahi kwa wamasai

20. Shantel

Shantel JF-Expert Member

#20
Sep 7, 2011
Joined: Feb 7, 2011
Messages: 2,021
Likes Received: 24
Trophy Points: 0
we huoni??? anajijua

Loading...