klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,648
- 5,140
Unawish nini BB? malizia basi! Ni dhambi kubwa kumwacha mwanaume na kiu. Mungu hapendiAaaaaah, i wish........
Unawish nini BB? malizia basi! Ni dhambi kubwa kumwacha mwanaume na kiu. Mungu hapendiAaaaaah, i wish........
Nyie madogo,mbona mnaniamsha nimelala....? Punguzeni kelele, ala!

samahani mjomba kaizer.
Msalimie shangazi.
Haka ka Husninyo tangu kamehamia mjini basi kamekuwa katukutu na kabishi kweli aisee!
kwa sababu ushaomba radhi pm nimekusamehe.Haka ka Husninyo tangu kamehamia mjini basi kamekuwa katukutu na kabishi kweli aisee!
nimevunja undugu kuanzia leonione mkuu nikupe dawa yake......lol
hehehe kumbe dawa ya kaizer inafanya kazi kweli! skujuakwa sababu ushaomba radhi pm nimekusamehe.

hehehe kumbe dawa ya kaizer inafanya kazi kweli! skujua
Halaf Uporoto mbona haonekani? au yule jirani yake mwenye laptop kahama mtaa?

ulifikiri ya kichina?

Halaf Uporoto mbona haonekani? au yule jirani yake mwenye laptop kahama mtaa?
Mwambie ile birika ya kupikia chai getto haionekani, na mpaka sasa washkaji wanamtuhumu yeye, akuje na maelezo.

uporoto baby wangu amepumzika. Acha ujumbe.