I love him

you love him that much?, then remember, The Boss will fire you.
 
thanx Heart... nashindwa kukuquote coz net inasumbua.... lakini kujenga urafiki pia inaniwia vigumu lakn nitajitahid kuwa karibu nae

Mwanaume wa kumpenda hivyo hua ye hana upendo kabisa,hata kama akikukubalii utaishia kuumiaa tu,muache akupende yeye, wanaume wa kibongo ukimtaka na kumwambia atakuona luzi labda kama umemtaman akupige mashine halaf ukate kona lakin kuweka makazi ni bure,wallah nakuambiaa
 
Last edited by a moderator:
everlenk
ahsante tena mummy..... kweli bogy language ikizidi ataniona wa ajabu...
 
Last edited by a moderator:
Unaogopa nini sasa?Basi anza kwa kutoka nae movie tena muangalie zile za kutisha ili uwe unajifanya unaogopa unamkumbatia pale kisa uoga then unapata na mbinu mbadala nyingine

Weee nomaaa kumbe ndio Idea zako hizo
 

!
!
nimeshajua. You dont need to make any move. Jumatatu nitamaliza kazi niandalie papuchi.
 

mmmh! unanitisha..... so nisichukue any action!
 
Ni vzuri kwamba mpo ofisi moja,sasa ikifika jumatatu subiri mpaka muda wa lunch ukifika,wewe jiangushe chini act unakifafa kikuu,hapo lazima aje akusaidie,ndipo na ww unamsaidia zaidi,hapo hachomoki!
 
Ni muda gani tangu uanze kua na hisia nae?
 
Una haki ya kupenda ila utam na umara wa safari yenu akuanze yeye ukijichanganya ukaanza wewe umekwisha....

Muhimu kabla ya yote chunguza anamtu wake vinginevyo utakuwa substitute kama spare tyre
 
Una haki ya kupenda ila utam na umara wa safari yenu akuanze yeye ukijichanganya ukaanza wewe umekwisha....

Muhimu kabla ya yote chunguza kama hana anamtu wake vinginevyo utakuwa substitute kama spare tyre..
 
Just let him know that you're in love, but indirectly.


 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…