I love her but i'm just too shy, and i dont know why

I love her but i'm just too shy, and i dont know why

Wewe ndo yule mkaka jirani yangu unaenipita kibarazani kila jioni unaogopa hata kunipa salamu?
nahisi kujawa na ujasiri wa ajabu baada ya kuipitia hyo...aiseee kesho lazima nkajilipue,nsije nkajuta bure baadae
 
Failing to say what you needed to say when you needed to say...!! Always a coward lives longer.....OuvERrrRrR
 
hii stori imenikumbusha..classmet wangu aliniambia "unajua nilikuwa nakupenda sana enzi zile nilikuwa naogopa kusema daaah bora ningesema tu kumbe ...

uoga au aibu ukiiendekeza inakosesha vizuri..bora upigwe cha tumbo lakin ukweli uliutoa...
 
Back
Top Bottom