I looooveeee uuuu

umalaya utawamaliza vijana kaka c mwaka juzi ulifunga ndoa ss uataka kuoa mm yoyo wangapi?
 

wewe mmasai wa wap? Co mama yoyo n mama yeyo
 
Siku si nyingi alikuwa anasema anataka kubebwa na mume wa mtu nadhani labda mahaba yamewakolea ndiyo maana haonekani jamvini huyu Amber Rose wa JF!
 

Mapenzi ya mtandaoni yana tabu sana
 
Basha wake yupo humuhumu akikukamata ataku mamong'oo....PM please will help some how..
 

hapo kwenye red nilikua najifunza kuweka rangi maneno kwa kutumia mobile
 
mpaka sasa hajotokea...atakuwa amepata TYCOON LA MERERANI...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…