I looooveeee uuuu

pesa unazo? siyo upele p.... kavu kama bi dada ajisemeavyo ngoja aje
 
we unayedai degree infact kwakweli nakugambila mazima ni muhaya aisee
usidhani pesa ni kila kitu kwake ohoooooooooo inabidi uwe vizuri kichwani pia may be ndo anaweza akakufikiria hebu tuambie una degreee ngapi
 
naona miss neddy kasalimu amli mwenyewe kwa toto la kinondoni, mtoa mada ujiandae kwa makavu
 
Last edited by a moderator:

Mbona yeye ni kigoli halafu wewe umeshaoa unaitwa baba ritha
 
mmmhh penzi jamvini ....haya mbavu zikiuma mtaamia kitandani kwaheri
 
Mrembo wako kazamia wapi? Mbona hatokei
 
A.K.A no free pu-mb-u
Jipange!!!

Body without head
 
Mrembo wako kazamia wapi? Mbona hatokei

Nalia kwa kwikwi huu mwaka unaniishia vibaya..@lara1 kipenzi changu njoo useme chochote bac nitakuelewa
 
Umeenda vidato lakini?
Utaweza kubeba mipasho 24/7? mwenzako kafungwa kengele kwa ulimi, lol..
Una hela ama wapeleka free p....u?
 
Umeenda vidato lakini?
Utaweza kubeba mipasho 24/7? mwenzako kafungwa kengele kwa ulimi, lol..
Una hela ama wapeleka free p....u?

Nimeenda vyakutosha..na ninampango akitokea leo nimpeleke pale miti miwili masaki nikafunge naye mwaka na kuanza mingne
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…