I looooveeee uuuu

inaonekana mnajuana kiundani!

hivi walimbwende ni watu wa aina gani vile?

Mi simjui hata kidogo ila nimetokea kupenda maneno yake tu.usishangae jamani hayo ndio mapenzi
 
Mi simjui hata kidogo ila nimetokea kupenda maneno yake tu.usishangae jamani hayo ndio mapenzi

ushawahi kuongea neno moja, halafu kabla hujamaliza ukajibiwa maneno mia moja?

mi binafsi sipendi kelele!
 
kwa huo mwandiko wako tu sijui kama atakuelewa!!!
 
Yeere sereina hio ndito iko api jina ake xaxa anaulisa kwani wewe si wa mwenyewe ? Ama anataka haribu mila
 

igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 

Aise bro utamweza kweli mwanamke huyu?
Mashaka yangu ni kwenye kuongea nae kwa sababu ninavyomfahamu binti huyu ni kwamba huwa anachanganya lugha mno yaani kiswanglish ndo swaga zake
Najaribu kufikiria tu miguno yake kwenye 6x6 yaani uu.... yes..... ndio.... o. m .g.. !!!
NAKUTAKIA KILA LA KHERI
 
ushawahi kuongea neno moja, halafu kabla hujamaliza ukajibiwa maneno mia moja?

mi binafsi sipendi kelele!

Mimi iko penda hivyo..napenda sana maneno yake na kelele zake
 

Sasa na ww hyo miguno umeijuaje..mbona wamsemea kipenzi cha nafsi yangu..yeroo kaa mbalii kabisa..au mimi iko ingilia himaya yako
 
haujui kutuma PM?

au unatafuta kick?

haya bana all is well! ngoja nione kasi ya meli barabarani!

anaweza akarudi na historia nyingine ndo maana kaona aanzie huku apate support
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…