Mmh. Yaani unapendwa na mtu hata kuandika jina lako hajui!
Lala1 ..Mdada nimekupenda sana kwa kuangalia avatar yako na muandiko wako hapa jamvini.nimekuwa nikikufuatilia sana humu jamvini sio siri maneno yako yamenifanya nikudondokee kimapenzi..nakiri mimi mmasai nilyeanguka kwako naomba uwe mamaa yoyo wangu..kwa kipindi cha mwaka mupya ujao.2014

Lala 1 ndio ndani? Au sleep 1?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums