I know its not right, still nimekosa willpower kumuacha mke wa mtu

mshana jr

i agree with you #mshana jr
you can never feel what you have never experienced this is the reason i loved i love Newton though i hated Physics
IN EVERY REACTION THERE IS AN EQUAL AND OPPOSITE REACTION
young man do what you do and surely you will soon feel the sounds of the trumpet
 
Last edited by a moderator:
Fact hujitambui future yako, fact mke wa mtu hufiki nae popote, fact hizo ngono zinamwisho wake maana hawezi kumwacha mumewe hata kama anakudanganya, fact jiandae na fumanizi na kutembezwa uchi mtaaniz fact elimu yako haijakusaidia. Fact sijaona unaomba ushauri wa nini wakati ukweli unaujua kama mke wa mtu sumu lakini unaziba pua ili hali sumu haizibiwi pua.
 
Mkuu jitahidi najua utaweza, muacha huyo mke wa watu. Hebu fikiria kwanza jee ingekuwa wewe mkeo watu wanamega kama hivyo.
 
Huko unakoelekea unavunja familia na kama ana watoto mda si mrefu utatenganisha na kuwakatili watoto mapenzi ya baba na mama. Mbaya zaidi unaweza hata kuwakosesha elimu watoto hao maana Baba yao anaweza kuwakana.
 
You sound very mature, reasonable and responsible. These are qualities to help you out of your predicament. When you are alone, tell yourself that this woman belongs to someone else and you should leave her.Tell yourself that there are many single women out there waiting for you!

Life is full of many pleasant surprises and believe me, if you exercise some patience and restraint in your current illegal relationship a new woman will pop out for you to grab.

Wish you luck in your efforts and destiny.
Noted with thanks shieka, at least you have given me some meat to chew on. unlike these guys wanaojibu bila kujibu...its funny, sijui wanadhani clinics za Alcoholic Anonymous na za kutreat drug addicts za kazi kani kama kila mtu anaweza kumaliza tatizo cold-turkey like.
 
Fact hujitambui future yako, fact mke wa mtu hufiki nae popote, fact hizo ngono zinamwisho wake maana hawezi kumwacha mumewe hata kama anakudanganya, fact jiandae na fumanizi na kutembezwa uchi mtaaniz fact elimu yako haijakusaidia. Fact sijaona unaomba ushauri wa nini wakati ukweli unaujua kama mke wa mtu sumu lakini unaziba pua ili hali sumu haizibiwi pua.
I was under the impression kuwa watu hawaombi ushauli kujulishwa ukweli. I thought watu huomba ushauli jinsi ya kudeal na ukweli.. seems my thinking is primitive..or is it?
 
Fact, utang'olewa meno bila ganzi, Fact, utang'ofolewa kucha siku ukibambwa. Kila la Kheri....
 
huyo ni mke wa mtu fact,utafumuliwa marinda fact,naona kaburi linakuita fact,Acha haraka Big fact
 
Wachana Na Mke Wa Mtu...Kwasababu Mwisho Wa Siku Ni Mke Wa Mtu,Your Relationship Is Going Nowhere,
 
Kuna rafiki yangu aliandika uzi mreeefu FB kuhusu mambo tunayoaminishwa kuwa lazima yawe jinsi yalivyo...

Yeye alikuwa anashangaa jinsi gani mwanamke ametwisha majukumu na kuwekewa kila taboo na jamii...kitu kinachomfanya kuishi duniani kama yuko jehanam wakati we only live once....

Mleta mada kama kweli wewe na huyo mke wa mtu mnapendana basi adai talaka yake muoane...na sidhani kama hili halipo kwenye vichwa vyenu mpaka usubiri kushauriwa...

Ila sasa macho ya watu na jamii ndio yamekufanya uje kuomba ushauri...

Huyo binti ni Muislam ambaye talaka kwao inaruhusiwa...kwa nini mnaamua kuzini ...??? Hata akiwa mkristu nani anafata hiyo sheria ya hadi kifo...in the expense ya kukosa hata tabasamu kwa sekunde...

Kila mtu ana haki ya kuwa na furaha humu duniani...

Sina maana kuwa ndoa ni ndoano...lakini ukijikuta umebugi usijilaumu sana kama vile uko kifungoni...I have seen people walioamua kujitoa kwenye mateso na kwa sasa hata nyuso zao zimejaa furaha tofauti na walivyokuwa kwenye ndoa za mateso...
 
endelea tu kukaunti dauni siku mkuu, siye yetu macho
 
Back
Top Bottom