Mr.genius
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 1,369
- 1,169
Sio ya gharama sana ila kwa matumizi yangu inanitosha,
Tecno boomj7, niliyoinunua tangu mwaka 2015 Nakumbuka enzi hizo ndo zlikua hot cake ndo zinatoka, Nakumbuka niliivuta kwa shilingi 240,000 za kitanzania kiukweli ndio ilikua simu yangu ya kwanza ya gharama kubwa kuwahi kuinunua na tangu hapo mpaka leo sijawahi kununua tena simu ya kiwango cha pesa kuzidi hapo.
Kwa gharama nlioitumia wala sijutii kwani i just love it! Smartphone yangu ndio kampani yangu, ndio mshkaji wangu ndio chuo changu cha kuvuna ma Knowledge kupitia internet. Gheto sina radio naitumia radio ya simu yangu tu kusikiliza habari na muziki from all over the world nina spika zang flani hivi naziamini sn when i want to listen to my favourite songs i just plugin the cable connected na spika zangu basi nakula mdundo as if nina subwoofer vile!.
Simu yangu nimeigeuza library kuubwa, nimejaza vitabu kem kem vile ninanvyopenda kusoma nikipataga link yenye vitabu ninavyovipenda hua sinaga ubahili wa bando kuvishusha Knowledge is power!
Kuhusu mawasiliano hapo ndo sisemi kabisa kwa miamala iliofanyika katika simu hii na deals mbali mbali ilizofanikisha gharama ya kuinunulia hii simu imerudi na profit juu!.
Tecno boomj7 ilikuja na camera ya mbele na ya nyuma ikiwa na Mega pixels 8, japo sio high quality kiivyo lakini ina ni save sana ku capture matukio muhimu in my life simu yangu ndio benki yangu ya picha i just love it.
Nafikiria kununua simu nyingne, yenye uwezo zaidi ya hii ninayotumia sasa ili iweze kunipatia taarifa zaidi, niweze kuvuna ma Knowledge zaidi, yenye space zaidi ili kuweza kuhifadhi documents zangu kwa Uhuru bila kuhofia kujibana bana kuishiwa nafasi!.
I enjoy using my smartphone and i am using it effectively, what about you?