I just changed....

I just changed....

Consigliere

Platinum Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
12,689
Reaction score
26,568
I just changed my password to "Incorrect" now computer reminds me everytime I forget.
 
we mwongo!
Nimejaribu ku-log in kwenye akaunti yako imekataa.
How is kilimo anyways?

Kilimo is all the way fine, ila kwa sasa nimejipa kavacation/retreat fulani.
Password ni hiyo hiyo.....soma vizuri neno ambalo computer inakupa ukijaribu ku log in.....lol
 
Dunia ina mambo na vijambo.
 
yaani ndevu zako zinaonekana una mapoint
lakini kumbe where
welcome to the simple world
of hellusinations and ellusions
achana na mambo magumu ya yale mainglish
Your new password is simply beautiful

I just changed my password to "Incorrect" now computer reminds me everytime I forget.
 
yaani ndevu zako zinaonekana una mapoint
lakini kumbe where
welcome to the simple world
of hellusinations and ellusions
achana na mambo magumu ya yale mainglish
Your new password is simply beautiful

hahaha wifi unanikosha
 
Tatizo wanazivutia chooni afu unakula chai na mkate kama lunch

kijiti kina-run dunia wewe.
Halina ubeesh kabisa... Kuhusu chai na mkate nina mwaka sasa sijatumia hivyo vitu.
Sawasawa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom