I have to do...ila isiwe Arusha

KH zimefika
i will try ila nimegundua ukiwa mkweli watu wanakuona mmbaya
 
Sio kwamba she dont derseve that way,ila inaonekana ni binti mtoka kubaya asie na malezi ya wazazi wawili,soni,adabu.
sio lazma uchangie
mzazi anahusikaje na control ya mwili wangu
physiology ina cha mzazi????????????????
 
wapo kibao wenye fantasy ya kuhave sex na stranger,wewe sio wa kwanza tii kiu yako ila kumbuka kupractise safe sex!.........
sio fantasy na stranger inayonisumbua bali ni bf kuwambali
 
Ee mwenyezi mungu, mjalie huyo kaka mke mwema na mwaminifu huko aliko. Maria hamfai.
Mamushka tutakuwa maadui milele
nimeshakueleza namna navyompenda my mchumba kiasi kwamba ntakubali hata kuwa mke wa pili incase
 
Kama huyo B/F yuko JF umeachwa kwa hivi vi detail ulivyotoa hata kama ni juha atakufahamu..
Pole sana unashindwa kuvumilia tumiezi kadhaa Maria lol pole ...
 
Tafuta mtu uliezoeana nae..then uwe unampa kisiri.watu watajua ni kawaida uko nae.ukitafuta wa mbali,ni rahisi kuharibu..dawa ya nyege ku-do! Wa ofisini ndio nzuri zaidi.tafuta mstaarabu,sio mabrazamen wakujisifia..pole!
 
Kama unampenda kinachokufanya umsaliti ni nini Maria ?
iko hivi: usiku nakosa usingizi nabaki kumkumbuka na kumkosa sana pia sina hamu ya kula
mchana nasinzia ofisini kiasi kwamba nimeshapewa onyo kwa maandishi mara mbili
nahisi ntapoteza kazi
now if ntapoteza kasi nibaki home mchana kutwa si nitaweuka kwa kumwaza?????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
Kama huyo B/F yuko JF umeachwa kwa hivi vi detail ulivyotoa hata kama ni juha atakufahamu..
Pole sana unashindwa kuvumilia tumiezi kadhaa Maria lol pole ...
hii ni radioactive material lazima ilipuke hata ikizuiwaje
 
Tafuta mtu uliezoeana nae..then uwe unampa kisiri.watu watajua ni kawaida uko nae.ukitafuta wa mbali,ni rahisi kuharibu..dawa ya nyege ku-do! Wa ofisini ndio nzuri zaidi.tafuta mstaarabu,sio mabrazamen wakujisifia..pole!
atakapokuja kutangaza ntakimbilia wapi??
 
Nakusihi mrudie mungu. Swali sana. Fanya mazoezi, epuka kuwa idle.
 
Usiendeshwe na mawazo na hisia potofu .baya na zuri sikuzote huanzia mawazoni na matendo ni mwitikio wa mawazo.think positive.
 

Mhhhhhh!!! Hiii kali...basi wewe umeumbwa wa tofauti sana....mhhhhh!!!!!!!
 
Reactions: BAK
Note:the banned Marytina yupo Arusha, baba mngoni,mama mchagga nitamfikishia ujumbe wowote incase
Sijaelewa hapa una maana umeanzisha ID mpya hii Marytina ili utuambie haya baada ya kufungiwa ??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…