Huna haja ya kuavoid
..
Dawa ni kuchat kimahaba na mwanaume mwingine
Si anapenda kusoma msg zako? Ndio azisome vizuri
ushauri huu unanguvu za giza zishindwe!
we nawe achaga unoko wenzio wakifanya yao
Chats zenyewe sio mbaya ila hapendi tu nisocialize na watu,dat1 I agreed wen we were okay together but after short breakup I could not stay like that kwa frustrations nazopataga I have to talk to people at least nipate nafuu.....ila tukianza kuwasiliana anaaanza kunihukumu sasa
Huyo bado anakupenda ndio maana anakufuatilia au labda mpo wawili au zaidi sasa anajaribu kucompare kwa kuwapima kuwa amchukue yupi kati yenu,vp ulishampa mzigo lakini?
Me na yeye tuna complicated relationship, ana act like he's not interested with me,he doesn't care whatever I can decide for him ila ananifatilia kiupande wa mawasiliano....anaona kila chat ya whatsapp na text za kawaida,how can I avoid this?!!
Hatua za kurestore ni zipi?!
He doesn't show that,he's not humble hata akikosea,hata nkimwambia nimechoka ananijibu go on,while ye akisema hivyo ntamplease hadi tuelewane
maana yake anakupenda
Hapo hakuna kupenda ni unoko tu.
He doesn't show that,he's not humble hata akikosea,hata nkimwambia nimechoka ananijibu go on,while ye akisema hivyo ntamplease hadi tuelewane
Nishajua tatizo ni pm
Huu ni msaada natoa lol!!Heeee wazee wa fursa
Dada shem upo?Wacha we!