Me na yeye tuna complicated relationship, ana act like he's not interested with me,he doesn't care whatever I can decide for him ila ananifatilia kiupande wa mawasiliano....anaona kila chat ya whatsapp na text za kawaida,how can I avoid this?!!

Huyo bado anakupenda ndio maana anakufuatilia au labda mpo wawili au zaidi sasa anajaribu kucompare kwa kuwapima kuwa amchukue yupi kati yenu,vp ulishampa mzigo lakini?