uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 14,678
- 20,445
Sidhani kama kuna mtu kaumbiwa kupenda kila kitu.
Na kila mtu naamini anakasoro yake..
Mimi kasoro yangu ni kwa wadada wafupi. hata uwe mzuri kiasi gani, ukiwa mfupi tu!
baasi!! nitakuchukulia kivingine.
Thats my big weakness..
Ufupi wa Below 4.5 feet kwangu ni shida, na hili limenikaa kwa muda mrefu sana.
What can I do to change my attitude?
Katika shughuli za kawaida, mara nyingi nakutana na watu wa type hii na huwa najizuia sana, dharau yangu isidhihirike wazi.