Na wewe unashadadia hayo majungu....
nilikuwepo humu jamvini kama novel idea nilibadili id kwa sababu za kiusalama ,sasa nimerudi kama zamani
Unashangaa nini sasa....
nilikuwepo humu jamvini kama novel idea nilibadili id kwa sababu za kiusalama ,sasa nimerudi kama zamani
Hahahahaaa haya dogo!nilikuwepo humu jamvini kama novel idea nilibadili id kwa sababu za kiusalama ,sasa nimerudi kama zamani
Una kiherehere dogo loldah! Kumbe ni weye? Nlikuwa nakusaka. Zilibaki siku 2 niende polisi kukuulizia.
Hahahahaaa mi ngoja nisiseme sana maana hakawii kunipiga busha wakati mi bado kijana aisee lol
Hehehehee dah hivi mtoto akikuvizia akaudunga shuti akijua ni mpira itakuwaje???busha?..ha ha ha..huo mpira wa watoto
Hehehehee dah hivi mtoto akikuvizia akaudunga shuti akijua ni mpira itakuwaje???
Hehehehee lazma mtu afe aisee maana ile kitu inauma kuliko kitu yoyote mwilini!
Hahahahaainabidi utembee na namba za simu za ambulance..incase of anything
Hahahahaa
Yale madude noma aisee kama ulikuwa mwanasoka ndio mwisho yan unahamia kwenye bao full kukaa muda wote!
yaani huyu mzee anapenda ujana kama nini..
Ni kweli yan ni kwa sababu hata yale mambo yetu performance lazma ishuke na ndio kitu pekee kikubwa ambacho mwanaume hakopendi duniani yan ni fedheha kubwa sana aisee mimisa lolafu hasira ni 24/7