shikamoo mzee mtambuzi habari za weekend
khahahahahahhahahahahahah habari za saahizi mzee Mtambuzi ndio umri ushakupiga mkono baba wee ssa hivi umebaku kukimbizana na mawingu tu binadamu noooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooNingependa wanisalimu hivi: "Habari za saa hizi kaka......!"
Unashangaa nini sasa....
Mtambuzi anatamani kurudia ujana.. haiwezekani tenahhahahaahahhhhh kaka uwe weeweeee?
na Nicas Mtei je tumwite nani?
Huyo anaitwa DOGO
Itanisaidia kujua kwanini huyu mzee hataki shikamoo!Ujue afya ya mama ngina we, itakusaidia nini?