I hate my Boss! I hate you

Nafikiri huyu dada baada ya kuonekana yuko jamii forums ndiyo maana huyo bosi akaamua kumsaidia ili awe bussy kidogo. Inawezekana kabisa vivian hujui maadili ya kazi ndiyo maana unawaka. Boss is always right, ukicheza unatupwa nje yeye ametulia tuli.

Watch out, una kitu lazima kimemfanya huyo bosi wako kukurundikia mikazi yote ili responsible.
 
Naomba ufafanuzi kwa haya niliyohighlight tafadhali
 
Don't complain, that's a great opportunity to learn all the skills needed for the boss' job title.

Kulikuwa na mzee mmoja pale TZ alikuwa technocrat, lakini hakuwa political, sasa rais akamteua administrator mmoja wa siku nyingi aje kuwa CEO, huyu administrator alikuwa political tu, hajui kazi (espe the logistic/ technical part) na kwa kweli CEO yule alikuwa anamtegemea sana huyu mzee technocrat kiasi kwamba huyu mzee technocrat ndiye alikuwa anafanya kazi ya CEO.

Baadaye yule Mzee CEO akawa anastaafu, rais akamuuliza ungependa nani afanye kazi yako, kwa kuwa alikuwa rafiki wa rais akamwambia, mpe yule jamaa technocrat, kazi anaiweza, amekuwa akiifanya muda wote niliokuwa pale"

Admittedly unaweza kuwa hupewi credit na boss wako anaweza asiwe appreciative that much, in that case you can always report this unfairness and risk bad blood (Nicolo Machiavelli wouldn't advise that) or you could easily bounce (it may be easier said than done with the current economy)

But no job is worth your peace of mind on one hand, on the other, peace of mind doesn't pay the bills.

Where is a one handed advisor when you need him!
 


Hate is a strong word!...ms Vivian
 

Kwani NGO sio private sister Vivian,
najua unamaanisha kitu kama vodacom, ZAIN, UN orgs vile but NGO ni Non Governmenatal Organisation.. so ni private in some way
 
Duh! sitaki kuvunja ndoa za watu! sijapata ya xspin. so don worry zion Daughter


hahaha..vivian naona kumbe duru za huku unazifahamu eeh? pole sasa ndo wafanya kazi hadi 'usiku'?
 
Ama kweli unaringa weye binti marinngo!
Kwani kama nisingekuwa kwenye bush ungenisaidia saidia je?

Hivi wewe mbona mgumu sana kuelewa? Hivi unataka nini hasa kutoka kwa Binti Maringo?
 
Hivi wewe mbona mgumu sana kuelewa? Hivi unataka nini hasa kutoka kwa Binti Maringo?

Mhh... samahani mkuu, sikujua kama wewe mdau. Nisamehe sirudii tena. Ila mweleze siyo vizuri hivyo kutuwekea wengine...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…