I feel played

I feel played

sexy bubble

Senior Member
Joined
Mar 29, 2014
Posts
156
Reaction score
22
Habari za jioni wana MMU,

Mimi ni msichana am dating a Guy who is a little bit older than me. I have been loving this guy toka enzi hizo when I was still katoto but I never took it serious until last year ndo akanitambua.

Problem is he ignores me sana sasa nashindwa kumuelewa he never calls me,hareply text zangu ni mara chache sana na hata akinitext yeye basi tutachat kidogo tu then ana nipotezea.

Cha kushangaza when we go out he acts like nothing is wrong and nakua nahisi am loved kweli lakini tukiachana hapo the next day majonzi moyoni.

Wana jamvi nashindwa kuelewa je ana mashetani mpaka yanikumbuke, am I being a little girl or is it just his character.

Je kuna mapenzi hapo au ana cheza na mimi.

Some times nalia sana I feel stupid,ushauri tafadhali.

POLENI KWA UZI MREFU...
 
Habari za jioni wana MMU,mimi ni msichana am dating a Guy who is a little bit older than me. I have been loving this guy toka enzi hizo when i was still katoto but i never took it serious until last year ndo akanitambua.Problem is he ignores me sana sasa nashindwa kumuelewa he never calls me,hareply text zangu ni mara chache sana na hata akinitxt yeye basi tutachat kidogo tu then ana nipotezea.Cha kushangaza when we go out he acts like nothing is wrong and nakua nahisi am loved kweli lakini tukiachana hapo the next day majonzi moyoni. Wana jamvi nashindwa kuelewa je ana mashetani mbaka yanikumbuke, am i being a little girl or is it just his character.Je kuna mapenzi hapo au ana cheza na mimi. Some times nalia sana I feel stupid,ushauri tafadhali. POLENI KWA UZI MREFU...

Ndo umeamu uje uniandike huku? Mimi na wewe sasa basi
 
One sentence for you baby gal, "he is not that into you"!

stop calling him, stop texting him and when you meet 'act normal' like he does. Soon atatoka moyoni mwako, anaenjoy free rent huyo.
 
Umesema amekuzidi, mara tena ulianza kudate nae tangu yupo katoto, sasa swali langu jee wakati yeye yupo katoto wewe ulikuwa nani??
 
One sentence for you baby gal, "he is not that into you"!

stop calling him, stop texting him and when you meet 'act normal' like he does. Soon atatoka moyoni mwako, anaenjoy free rent huyo.
nashindwa kuukubali ukweli i love him too much his always on my mind ukweli unauma
 
Wengne tuko hivyo jamani. Kwan kuchat na kukupigia simu mara kwa mara ndio mapenzi?! Anafanya kazi gan kwanza?! Ni mtu wa tabia gan?! Tokea zaman alikuwa hivyo au kachenji baada ya kuwa nawewe?!
 
You have got to know when love is over and learn to carry on.

Do not lower your dignity as a woman, over a man who does not reciprocate your love.

Believe me there is always someone better.

Now wipe those tears and call it quits.

You deserve better.
 
Umesema amekuzidi, mara tena ulianza kudate nae tangu yupo katoto, sasa swali langu jee wakati yeye yupo katoto wewe ulikuwa nani??
yani mimi nilianza kumpenda yeye toka nilivyokua sekondary kipindi hicho yeye alikua kamaliza sekondary miaka imeenda ndo we met last year
 
Mapenzi kushnei,move on dear sisy tafuta mwingine.Ngumu kumeza lakini ndiyo ukweli
 
Habari za jioni wana MMU,mimi ni msichana am dating a Guy who is a little bit older than me. I have been loving this guy toka enzi hizo when i was still katoto but i never took it serious until last year ndo akanitambua.Problem is he ignores me sana sasa nashindwa kumuelewa he never calls me,hareply text zangu ni mara chache sana na hata akinitxt yeye basi tutachat kidogo tu then ana nipotezea.Cha kushangaza when we go out he acts like nothing is wrong and nakua nahisi am loved kweli lakini tukiachana hapo the next day majonzi moyoni. Wana jamvi nashindwa kuelewa je ana mashetani mbaka yanikumbuke, am i being a little girl or is it just his character.Je kuna mapenzi hapo au ana cheza na mimi. Some times nalia sana I feel stupid,ushauri tafadhali. POLENI KWA UZI MREFU...

No-brainer. Just keep it movin'.

You and him not being together is not Armageddon.
 
Wanasoma vitabu tafauti kabisa. Mmoja ana cha historia mwenzie ana cha basic applied mathematics!

Point of correction dada mkubwa King'asti , pole kwanza kwa kazi ya kujenga taifa,wakati wengine tukiwa na mikakati maridhawa ya kulibomoa inawahuuuu?

Back to a topic, kuna tatizo huwa nimeliexperience binafsi ambalo yumkini huyu bi dada ndilo linalomkuta pia, mwezi uliopita kama unakumbuka nilikuja hapa malalamiko ya kuachika na lol pop tulietoka naye hukoooooo kene baridi kali, tukipita milima na mabonde kwa pamoja na kurisk mambo mengi kwa seek ya future lol watoto wa kike ninyi....

Mtoto wa kike subiri miaka yote na huku moja moja tunapiga, heeh maliza chuo na ndoa hapo hapo,,,guess inavyouma! Basi kujiondolea stress mtoto wa kiume nikaamua kukaa kando na kushusha toti za whisky tu kuweka akili sawa...ila kwa kuwa maisha hayatakiwi kusimama nikaja kumtunuku mtoto wa mkufunzi wangu of whom ndo kwanza kako mwaka wa pili chuo....yaani ni shida shida kabisa!

Kila dakika ni ngrrrrr! ngrrrrrr! hadi simu nimeamua kuiweka silent, na ukipigiwa simu hata saa tisa usiku usipo peak ni ugomvi wa siku nne,na once ukimwambie bi dada mimi ni mkomavu kwenye haya mambo siwezi kurudi tena kwenye enzi za yori yori basi ni kilio...."umenidharau" Kwa hiyo unaweza kuona changamoto tulizonazo mabazazi tunaaamua kujichukulia digital baada ya kupigwa chini na zilipendwa wetu....Tuwemo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom