mnhhhh wewe umo kumbee?
kama unanisikia mydia kwanza hongera sana sana kama nothing happened shukuru mungu.. Huna sababu ya kuumiza roho walk away maana hujampa visa je siku ukija kumpa utaumia mara 70
better to walk away with temporary wounds rather than to live with permanent hurt.
Bravo mpendwa wewe anzisha hamna kitu hapo mwizi tu wamapenzi, laghai na muasherati mkubwa furahi ur not his other victim
napenda sana kusoma article za mapenzi na vitabu so i came across kitabu kimoja kipo pale book shop ya mliman city hope all girls wangesoma very interesting
acheni usumbufu jamani. mtu hapokei bado tuuuu!!!!
Inauma eeh chezea mapenz... then plz usituibukie na thread ya kuwachukia wanaume.
Kinaitwaje hicho kitabu
I guess yo ryt my dia, thank God I never made that mistake, Thanx for the advise yan natupa kule though ts going to be very hard nishamzoea
Unless unahitaji dawa yabkuokoa maisha kutoka kwa mtu, 2 calls is a maximum. Akiona atapiga. Kama mikono inawasha kupiga simu mpigie mamako uongee nae. Hebu muache mtoto wa mwanamke mwenzio.
Wewe umeshanasa lol
anakulia timing tu,utaliwa soon lol
Wewe umeshanasa lol
anakulia timing tu,utaliwa soon lol
mhm hutoi papuchi alafu wamtafuta ebu wacheni ujinga hapa ....mwanaume kwako anafuata papuchi....mapenzi kashalata kwa mama yake.
Terrance dean
blog inaitwa bossip > love and relationships
hata Facebook anapatikana kwa terrance dean he is best mshauri wa mapenzi ever. Wenye muda tafuteni huko mtajua mikasa yote na how to handle.