I fail to understand him......help please

I fail to understand him......help please

CnaJina

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
468
Reaction score
84
Habari zenu wapendwa, eti unamuelewaje mtu ambaye ukimpigia simu na namba yako hapokei lkn ukiazima simu ya mtu mwingine anapokea tena fasta, nashidwa kumuelewa my patience is runing out or I'm I overeacting.
 
Simple mydia wala usiumie roho
eazy anza kuandaa silaha za mashambulizi hapo hamna kitu umeshampa anachotaka hamu na wewe hana tena. Hand down mamie kusoma hujui hata picha hauoni he is not into u.
 
Remme teach u hyu jamaa hana time na wewe waweza fanya mawili
1. Kata mawasiliano wiki 1 no calls, text any reply. (ngumu ila utaweza) akikaa kimya anza kuiona njia ya kutokea dont be available sana kwake kiasi akuone yan we upo tu umekufa umeoza
 
Inategemea unampigia mara ngapi kwa siku na unaongea nini

kama unampigia kila baada ya dakika tano kumueleza
mara niko sokoni nanunua nyanya
mara niko saloon natengeneza nywele
mara nimeunguza jikoni
hata mimi sipokei simu za hivyo
 
Inauma eeh chezea mapenz... then plz usituibukie na thread ya kuwachukia wanaume.
 
2: learn to play a game how
kama jamaa anacash (sound naughty kidogo lakini that it is)
kama anacash na zinakuweka mjini play his game ila sasa usiwe mtumwa, yan pita njia zilezile anazotaka.
Trust me his not attracted to u now days. Sasa what u did mizinga kwenda mbele kama unajua mahali alipo ukipiga hapokei muendee huko aliko.
 
Maybe you are being a pest and he/she is screening your calls.
 
Mwisho waweza tumia busara mkae umuulize kwanini siku hizi mawasiliano yamekuwa off, na je uhusiano wenu nini muelekeo wake, maana ur fed up. So hapa use diplomat ila kama unamuona anamuelekeo muelekeo kidogo
 
Simple mydia wala usiumie roho
eazy anza kuandaa silaha za mashambulizi hapo hamna kitu umeshampa anachotaka hamu na wewe hana tena. Hand down mamie kusoma hujui hata picha hauoni he is not into u.


Bahati nzur hakuna nlichompa myb dat da reson he lost intrest
 
The truth is ana mtu mwingine. Uamuzi ni wako to leave au play the game.
Sorry ana miaka mingapi??
 
Inategemea unampigia mara ngapi kwa siku na unaongea nini

kama unampigia kila baada ya dakika tano kumueleza
mara niko sokoni nanunua nyanya
mara niko saloon natengeneza nywele
mara nimeunguza jikoni
hata mimi sipokei simu za hivyo


Hamna nlikua simpigiagi kabisa he was the only one doing the calling then akaanza kucomplain so I changed nkawa namcoll List 3times a day, dats why nashindwa kuelewa wat myb da reson fot treating me lyk this
 
Last edited by a moderator:
Bahati nzur hakuna nlichompa myb dat da reson he lost intrest

kama unanisikia mydia kwanza hongera sana sana kama nothing happened shukuru mungu.. Huna sababu ya kuumiza roho walk away maana hujampa visa je siku ukija kumpa utaumia mara 70
better to walk away with temporary wounds rather than to live with permanent hurt.
Bravo mpendwa wewe anzisha hamna kitu hapo mwizi tu wamapenzi, laghai na muasherati mkubwa furahi ur not his other victim
 
2: learn to play a game how
kama jamaa anacash (sound naughty kidogo lakini that it is)
kama anacash na zinakuweka mjini play his game ila sasa usiwe mtumwa, yan pita njia zilezile anazotaka.
Trust me his not attracted to u now days. Sasa what u did mizinga kwenda mbele kama unajua mahali alipo ukipiga hapokei muendee huko aliko.

mnhhhh wewe umo kumbee?
 
Hamna nlikua simpigiagi kabisa he was the only one doing the calling then akaanza kucomplain so I changed nkawa namcoll List 3times a day, dats why nashindwa kuelewa wat myb da reson fot treating me lyk this

Wewe umeshanasa lol
anakulia timing tu,utaliwa soon lol
 
Jas yo an expert lol his 24

yan hawa wa 20's hamna vitu kabisa kwanza ni onjaonja, hawaja settle kimaisha, ujana ujana mwingi wa kijinga jinga.
Kwa wadada wote kama u wish to pursue relationship ambayo will be safe kidogo na stress kwa mbali date na wa kuanzia 33 hawa wa chini ya hapo wachache sana waliotulia bado wanahamu ya kuwajua wanawake wa kila aina
 
Back
Top Bottom