I don’t wanna marry him, what should I do?

Shida nini mama? Au anafanya makosa mengine ambayo hayavumiliki? Hebu tuelezee vizuri. Maana kutaka kumuacha mwanaume kama huyo bila kosa siyo hali ya kawaida ni pepo hilo.
 
HAYA NDIO MAMBO YAKUPOTEZEANA MUDA SI MAZURI KABISA, SINCE UNAANZA NAE MAHUSIANO DIDN'T YOU KNOW THAT HE IS NOT UR TIME, AFTER ALL NDIO UMEKUJA KUJUA SASA HIVI HIZO SABABU ZAKO BINAFSI?? KUSEMA UNA SABABU BINAFSI AMBAZO NI PERSONAL MAANA YAKE HE HAS NOTHING BAD TO YOU, BUT YOU HAVE BAD PERCEPTION INTO YOUR MIND ABOUT HIM THATS WHY UNAMMALIZIA MUDA, ILA BETTEE EARLY THAN LATE, AFTEE ALL YEARS NI BORA USIENDELEE KUMPOTEZEA MUDA, HUWA NAPENDA KUSEMA UKIONA UNAMCHOKA MTU BASI HUYO HAKUWA CHAGUO LAKO, NA KAMA SI CHAGUO LAKO BASI NI VEMA USIENDELEE KUMPOTEZEA MUDA MAANA KARMA IS OUT THERE WAITING FOR YOU,
ILA KUNA VINGINE VINACHEKESHA SANA AFTER ALL THE TIME NOW YOU HAVE TO YOUR SENSES THST HE IS NOT YOUR TYPE?? JARIBU KUWA SERIOUS IN RELATION COZ YOU ARE USING SOMEONES TIME IN ADVANTAGE OF YOURS, KAMA UNAJUA WA MBILI HAVAI MOJA ELEWEKA MAPEMA.
 
Ikiwa atapewa sababu na akaelewa mtu kama huyo kwa uzoefu wangu kuja kuoa ama kudumu na mwanamke huwa ngumu sana kwakuwa anapoachwa hapewi sababu za msingi.
 
Kabisa muachie mapema anaestahil kuwa nae akawe nae...mtoto wa watu..ni chungu lkn dawa atapona...uache kukaa kinyumba na mwanaume kabla ya ndoa...
 
Kabisa muachie mapema anaestahil kuwa nae akawe nae...mtoto wa watu..ni chungu lkn dawa atapona...uache kukaa kinyumba na mwanaume kabla ya ndoa...
Nimetamani kumuacha kwa muda sasa ila nashindwa namna ya kumuacha.
 
We hujaamua tu au kama anakasoro zingine useme nikwambie tu ukipata mtu anakupenda na anakuhangaikia hvo usimpuuzie,utayakumbuka haya nisemayo m nadhan pia kupenda unaeza jifunza anza kuimagine upendo wake na vyote vzur anavokupendea bila kusahau nyakati nzuri
Ndo maana kuna methal inasema mpende akupendae nasisitiza unaeza kujifunza kumpenda mtu
 
Sikuwahi kumhusisha mama yangu katika hili naanzaje sasahivi? Wazazi wangu hawajui kama ninaishi na mwanaume.
 
Nimejitahidi sana kwa kipindi chote hicho ila sikuwahi na sidhani kama nitaweza. Imefikia hatua i just hate everything about him. Kumbuka hata hii ya kuishi pamoja sikuwahi kuifurahia.
 
Yaani wewe mwanamke wa ajabu sana, umeshamlia pesa zake sasa unataka kutokomea ndio maana Mimi uwa nawadinya na kusepa zangu, pumbavu kabisa
Nimemlia pesa zake kivipi? Sijawahi kumuomba hata mia tangu nianze mahusiano nae. Kwenye biashara zangu sijawahi kumhusisha hivyo hajawahi kuweka hata sh 5 yake huko, its all me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…