I dont talk to strangers

I dont talk to strangers

Wakuu,hivi hawa wanawake tunaowasimamisha huku mitaani wanajibu eti they dont talk to strangers,huwa wanaolewa au wanakua na mahusiano na wanaume wa sampuli gani?

First of all mwanamke anaejifanya yuko so strict eti haongei na strangers mimi huwa namuona ni mpumbavv na ana elimu ndogo sana na kama amesoma basi hajaelimika ipasavyo na ni kirusi kwenye jamii.

Hii tabia nimeiona sana kwa mabinti wengi wa kitanzania hususani hawa wanaoishi mijini, wengi wa hao wenye tabia hii huwa wana "ignorant preconception" yaani anaona kitendo cha wewe kumchangamkia wakat huo hamjuani, basi anajua hakuna unachohitaji kutoka kwake zaidi ya "sex"tu hawajui kwamba wengine ni mameneja tunakuwa tumevutiwa na body physique zao na kuziona zinafaa kwa modelling.

Kitu kingine wasichokijua ni kwamba stranger huwa hakwepeki unless uwe hauna mpango wa kuwa na familia yako. Baba zetu na mama zetu kabla hawajaona na kutuzaa walikuwa ni wachumba tu, na kabla hawajawa wachumba walikuwa ni marafiki tu, na kabla hawajakutana na kuwa marafiki walikuwa ni watu wasiojuana yaani "strangers"... sasa basi kwa maana hiyo kumbe familia inatengenezwa na "strangers".

Sasa wewe binti unaesalimiwa na watu unajibu kwa nyodo, hutaki stori, dharau nyingi kisa tu mtu huyo aliyeonesha interests kwako sura yake ni ngeni machoni mwako ebo!! sasa kama hutaki stranger subiri uje utongozwe na binadamu yako na siku ukijitambua tutakuona jamiiforum hapa kwenye section ya love connect ukiwa na miaka yako 38 unatafuta mwanaume wa kuzeeka nae.

Mwanamke yeyote kwanzia sasa ukimuapproach in friendly way na bado akakuletea nyodo eti hawezi kuongea na stranger, mwambie wewe ni mpumbavuu na wala usimuangalie tena baada ya kumtakia maneno hayo sababu hajui maana ya social life kuendelea nae ni kupoteza muda tu, lack of exposure inawatafuna hali iko tofauti sana kwa wanawake wa nchi jirani ziliotuzunguka.
 
Yeah! wanaolewa ndio na passengers ili kukamilisha vina.
 
Your approach counts mkuu the same way as your appearance.
Hell shiit..what nonsense is this?

So from your perspective you mean before we talk to you, we need to take a mass communication course so that we can get ideal approaches to use for getting a nice responses from you guys ehee?

what exactly are you demistifying by saying "my appearance" impacts your reaction to me!? Or do i need to look like Justin Timberlake on grammy awards platform while we just happened to meet in my odd job area unexpectedly?

Madam stop these execrable spurious reasons you stated here, the grospel truth is majority of tz female folks(not all tho) have serious deficiency in terms of socializing, they always hold a negative perception for people they have never known before maybe because of denial of exposure we have here thats why they are too unsophisticated and less civilized, it actully disgusts me.

The issue is so different to women found outside of our shores, i just met this beautiful girl from Mozambique some time ago, my dear the way we talked it was mind blowing, we just spent some hours but you would've said we had been knowing each other for years. She was so open, straightfoward and smiley all the time, every minute with her was worthwhile to me and i never regreted. I found that girl was smarter way than most of tanzanian pompous women i see here.
 
In most cases men are missing out the ice breaking point, how can you meet a girl and asking for her number, that is two/three steps ahead. We may have luck of exposure but for the majority of cases the approach comes with sexual advances, that put many girls off.
 
Inategemeaa na muonekano wako,
Kama upo smart I mean gentle man mbona watasimama na kukusikiliza,
Lakini ukiwa rough ama umevaa kihuni utaambulia msonyo wa hatari na kuangaliwa kwa dharau.
Huo mimi nauita ujinga wa wanawake wa kitanzania.

Kwa hiyo ukiwa hauko kigentleman ndio hawezi hata kukuskiliza wakati huo umemuita kistarabu!!?

Na ndio maana wengi wao wanagongwa gongwa hovyo na wanaume waongo waongo wakidanganywa na mionekano fake unayoisema.

Mtu ana azima gari,suti na hela kidogo anakopa kisha anaenda kumdanganya binti mimi ni branch manager wa CRDD na kweli binti wa watu kwa akili yake finyu anaingia king nakujikuta anavuliwa chupi siku hiyo hiyo. Wakati huo kuna mtu mwingine anamfuata kistaarabu kesho yake bila chochote cha kumtamanisha akiwa yuko serious binti anamtolea lugha za chooni.
 
ni ulimbukeni.. I don't think hata huyo mumewe alizaliwa anamjua, he was a stranger first kabla ya kua mume.. so if u face a woman like that feel sorry for her
Don't even bother with them scumbags,

Apparently the ignorance and self-arrogance igrained in ther minds.
 
In most cases men are missing out the ice breaking point, how can you meet a girl and asking for her number, that is two/three steps ahead. We may have luck of exposure but for the majority of cases the approach comes with sexual advances, that put many girls off.

So you wanna say it's a men's problem not otherwise!! your first phrase stated men are missing breaking point, so how do you want me to start the conversation on arrival in the way that will fascinate you and get along together throughout the whole talks?

Is it a crime to ask for your contact if you are either in hurry or bad mood to talk to me on the meantime?

Again you hold "igonorant preconception" how can you know my sexual interests to u?
 
Once I was on a bus once not in Tanzania I met a man who first looked at me and said "I had never seen a woman with natural hair for such a long time", that made me excited and I can set that as an example of ice breaking point.
 
In most cases men are missing out the ice breaking point, how can you meet a girl and asking for her number, that is two/three steps ahead. We may have luck of exposure but for the majority of cases the approach comes with sexual advances, that put many girls off.
Problem is we take ladies as desire tools...

If you see her first imagine she u sister or daughter n respect her get to know her well....

I messed up enough but not no more...

Viva 2017
 
Jamani,

Yaani ukitaka kuongea na mimi huko mitaani ,nisimame kama darasani mnavyosimama mwalimu akiingia?lol

Kabla hujamuaproach mdada tabasamu,msalimie,mwambie amependeza......

If you didn't know,wanawake tuna insticts,nikikuona miaka mia najua wewe nisimame,au niku ignore mwanzo mwisho lol,

Poleni labda akina Nyani Ngabu atakuja kuwafundisha 'lines' za kutongozana,lol

Mnakuja kwa ukali ni kwa sababu hamjui hunting game,lol

Happy new year,
 
Wanawake wanajishaua sana siku wakikongoroka ndio utawasikia adamu unanipita kama hunioni sio vizuri hivyoo,ndio maana huwa na deal na machangudoa tuu coz huwa hawaangalii sura wao ni pochi tuu
 
Wanawake wanajishaua sana siku wakikongoroka ndio utawasikia adamu unanipita kama hunioni sio vizuri hivyoo,ndio maana huwa na deal na machangudoa tuu coz huwa hawaangalii sura wao ni pochi tuu
Tukiwakarimu mnatuita mama huruma sasa mnataka nini?
 
Appearance Matter
c6be0e317c3dafc6cfe16726bbb01824.jpg

[emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji122] [emoji122]
Lazima aje na marafiki zake.....
 
Back
Top Bottom