I dont talk to strangers

I dont talk to strangers

Mi nashangaa sana kuhusu wao vs strangers, na pia ukimuuliza kila kitu anakupa majibu ya mkato na namba ya simu hakupi, email hakupi, fb id hakupi, jina anakuambia la uongo yaani full kufake tu..... Labda umsimamishe ukiwa ndani ya gari utapewa attention ila hiv hiv wanadharau vibaya mno.... Ndo jinsi walivyo
 
Muonekano na lugha unayotumia ni muhimu sana Mkuu.

Inategemeaa na muonekano wako,
Kama upo smart I mean gentle man mbona watasimama na kukusikiliza,
Lakini ukiwa rough ama umevaa kihuni utaambulia msonyo wa hatari na kuangaliwa kwa dharau.
 
Back
Top Bottom