I didn't know untill it happened to me

I didn't know untill it happened to me

sasa hapa umeniacha keep left mwenzio na google translator imegoma lolz!

I'm learning a language. Ilikuwa furaha yangu kusaidia mwalimu gfsonwin

Kama alivyowahi kusema Kaunga kwenye thread ya SnowBall on https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/397667-follow-the-facts-to-be-happy-4.html

I smile deep in my heart when my help to somebody brings positive change in a person's life. It is so rewarding and lasts longer kuliko hata furaha ya orgasm.
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin jukwaa limetenda mema
gfsonwin jukwaa limekuwa salama
gfsonwin jukwaa limesimama

gfsonwin jukwaa ni zuri
gfsonwin jukwaa lina wazuri
gfsonwin jukwaa limenawiri

gfsonwin natamani kudadisi
gfsonwin nielimishe nisijedisi
gfsonwin EMT na wenzie wema walotenda

kila la heri jukwaa la MMU kwa ushauri bora kwa jamii
 
gfsonwin jukwaa limetenda mema
gfsonwin jukwaa limekuwa salama
gfsonwin jukwaa limesimama

gfsonwin jukwaa ni zuri
gfsonwin jukwaa lina wazuri
gfsonwin jukwaa limenawiri

gfsonwin natamani kudadisi
gfsonwin nielimishe nisijedisi
gfsonwin EMT na wenzie wema walotenda

kila la heri jukwaa la MMU kwa ushauri bora kwa jamii
makoyo mwana jamvi,
sifa umezimwaga,
hakika umetufumbua
ubora wa jamvi letu.

sifa na zienee
kila pande za jamvi
ila ukuu na ushamiri
jukwaa langu mmu

sioni haya kusema
machache yaliyo nisibu
ila kibali nahitaji
toka kwao wahisani


EMT nahodha, hukuchoka kilindini
hata jahazi liliposukwa,bado ulihimili mikiki.
dhoruba ulihimili, kuokoa maja wako
naisifu hekima yako,iliyonitoa kilindini.


SnowBall kaka yangu, nyuma hukutizama
akili hukuilaza ikashindwa dadavua
majibu fasaha ukanipa dadayo nikatua mzigo.,
uzidishiwe busara, uwe msaada kwa wengi.


snowhite mlimbwende,daima siishi kukutaja
umetukuka kwa busara na hekima za kikubwa.
dada hukukubli kuona naadhirika
stara ukaniletea, shoga'ko nikastirika.

wahenga walipata sema
penye wengi hapaharibiki neno
nami sioni tashwishwi kusema
jamvini humu hapaharibki neno.
 
Maana nimeona unayatwanga mashairi.

Hayo ya mawili ya mwanzo niliyasepa baada ya form two.

Hivi siku hizi bado mnalazimishia wanafunzi wachukue combination yenye hayo masomo?
ndio, it is a must for science students.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
ndio, it is a must for science students.

Not sure kama umenipata vizuri.

Sijui siku hizi lakini zamani form one na form two walikuwa wanasoma masomo yote including ya sayansi na biashara.

Form three mwanafunzi anachagua kama anataka kwenda sayansi ambapo atasoma chemistry na Physics.

Wanaochagua biashara wanajikita zaidi kwenye accounts na commerce.

Wanaobakia arts, walikuwa hawasomi accounts, chemistry na Physics, though wapo waliokuwa wanasoma biology na commerce.

Tatizo lilikuwa wakati wa kuchagua, unakuta katika mtihani wa kidato cha pili kuingia kidato cha tatu mwanafunzi amefanya vuzuri sana kwenye masomo ya sayansi au ana wastani wa juu kwa masomo yote lakini anaamua kubakia arts.

Walimu walikuwa wanamlazimisha mwanafunzi huyo asomee sayasi hata kama alikuwa hataki. Ikishindikana kabisa anahamishiwa biashara.
 
mwali mi si unajua nilivo mbovu wa michozi enh!
AHSANTE SANA MPENZI!
sanaaaa!
ILIKUWA FARAJA KWANGU KUKUPA TABASAMU TENA!
love yu sissy !ALWAYS!
 
Sikujua kama jamvi ili ni ulimwengu mwigine.
mpaka pale ambapo nilipoona uimwengu huu ukiwa nyuma yangu.

sikujua kama jamvi hili ni ulimwengu mwingine
mpaka pale ambapo ulimwengu huu ulivyojidhihirisha kwangu.

sikujua kama jamvi hili ni ulimwengu mwingine.
mpaka pale ambapo ulimwengu huu ulipothibitika kwangu

sikujua kama jamvi hili ni ulimwengu mwingine
mpaka pale ambapo ulimwengu huu uliniponipa ndugu, marafiki, na jamaa.

sikujua kama jamvi hili ni ulimwengu mwingine
mpaka pale ambapo ulimwengu huu uliponipa SnowBall, EMT snowhite na kufanyika washauri na msaada wangu nilipokutana na mtihani mkubwa sana sana ambao kiukweli ulikuwa ni muendelezo wa sehem ya tatu ya uzi wangu uliosomeka MITEGO YA DUNIA HII SIIWEZ.

My true friends SnowBall, snowhite na EMT nawashukuru sana sana kwa msaada wenu, Tazama ya kale yamepita na sasa yamekuwa mapya.

love you buddies.
love mingi!mingi!mnooo!
 
gfsonwin pevu umepevuka
elimu umeelimika
busara zimekamilika
hekima zimetanabaika
kofia msuli nimetundika
saluti mahususi nimekutandika
hongera lukuki kwako zimefika
mwandani wako amebarikika
liwazo umpalo kamwe hatotikisika
makoyo mwana jamvi,
sifa umezimwaga,
hakika umetufumbua
ubora wa jamvi letu.

sifa na zienee
kila pande za jamvi
ila ukuu na ushamiri
jukwaa langu mmu

sioni haya kusema
machache yaliyo nisibu
ila kibali nahitaji
toka kwao wahisani


EMT nahodha, hukuchoka kilindini
hata jahazi liliposukwa,bado ulihimili mikiki.
dhoruba ulihimili, kuokoa maja wako
naisifu hekima yako,iliyonitoa kilindini.


SnowBall kaka yangu, nyuma hukutizama
akili hukuilaza ikashindwa dadavua
majibu fasaha ukanipa dadayo nikatua mzigo.,
uzidishiwe busara, uwe msaada kwa wengi.


snowhite mlimbwende,daima siishi kukutaja
umetukuka kwa busara na hekima za kikubwa.
dada hukukubli kuona naadhirika
stara ukaniletea, shoga'ko nikastirika.

wahenga walipata sema
penye wengi hapaharibiki neno
nami sioni tashwishwi kusema
jamvini humu hapaharibki neno.
 
Back
Top Bottom