Holoholo-Baba Kijacho
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 6,796
- 13,956
Naomba ukiwa rais niwe waziri mkuu wako,siutaki umakamu wa rais.
SAsa mkuu hukubali kukosea, unapewa usahihisho unaweka maneno mengi ya kazi gani. Ndo hoja yangu ya msingiKatika mambo ambayo siogopi ni kukosea huo mtihani nilishafaulugu
Tanzania ni nchi inayonuka umaskini kila kona, hopeless and yet wananchi wake wanaogopa kukosea
My spiritual life are❌Am not play by the rules
Play❌
Playing✅
Au nasema uwongo?
Huku hatuandiki research na dissertationSAsa mkuu hukubali kukosea, unapewa usahihisho unaweka maneno mengi ya kazi gani. Ndo hoja yangu ya msingi
Tatizo wengi mnachukulia kama mtu akisahihisha ni kama anakucheka
USICHOKE KUTAFUTA MAKOSA NDO UNACHOJUAMy spiritual life are❌
My spiritual life is ✅
Kubali usahihisho bila maneno mengi mkuu, tofauti na hapo msemo wa "siogopi kukosea" utakuwa ni msemo wa kisiasa tu, maana asiyeogopa kukosea huwa tayari kujifunzaHuku hatuandiki research na dissertation
Hakuna sehemu nilipokoseaKubali usahihisho bila maneno mengi mkuu, tofauti na hapo msemo wa "siogopi kukosea" utakuwa ni msemo wa kisiasa tu, maana asiyeogopa kukosea huwa tayari kujifunza
Kwanza rekebisha heading , grammer haijakaa vizruri ni “i dont not play”Sina historia ya kuwa kiongozi serikalini, sina historia ya kuwa mwanachama wa chama chochote na watakaoniweka madarakani ni nguvu ya wananchi
Sina umri wa miaka wa kikatiba wa kugombea Urais ila nipo kwenye kinyanganyiro cha urais narudia tena nguvu ya wananchi ndo watakaoniweka madarakani
MIMI NI WINGA NA NALISEMA HILI PASIPO KUOGOPA AU KUONA AIBU TUNAJUA HUKU JAMIIFORUM KILA MTU ANAVIMBA ILI AONEKANE ANA FEDHA MIMI SIO MASKINI WALA TAJIRI
sijasoma masomo ya science niliyakimbia tokea form two ila idea za science nilizokuwa nazo ni za ki-legend sijisifu hapana ndo ukweliSupport hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
My spiritual life are extreme chaotic, painful and legendary
Kidole changu cha mwisho ni kinene kuliko kiuno changu
Huyu dish limeyumba chanel zake chengeSina historia ya kuwa kiongozi serikalini, sina historia ya kuwa mwanachama wa chama chochote na watakaoniweka madarakani ni nguvu ya wananchi
Sina umri wa miaka wa kikatiba wa kugombea Urais ila nipo kwenye kinyanganyiro cha urais narudia tena nguvu ya wananchi ndo watakaoniweka madarakani
MIMI NI WINGA NA NALISEMA HILI PASIPO KUOGOPA AU KUONA AIBU TUNAJUA HUKU JAMIIFORUM KILA MTU ANAVIMBA ILI AONEKANE ANA FEDHA MIMI SIO MASKINI WALA TAJIRI
sijasoma masomo ya science niliyakimbia tokea form two ila idea za science nilizokuwa nazo ni za ki-legend sijisifu hapana ndo ukweliSupport hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
My spiritual life are extreme chaotic, painful and legendary
Kidole changu cha mwisho ni kinene kuliko kiuno changu
hakuna sehemu yeyote nilipokoseaKwanza rekebisha heading , grammer haijakaa vizruri ni “i dont not play”
😂Grammar ndo kitu gani
Alafu kutwa kuhangaika na nyuzi zanguHuyu dish limeyumba chanel zake chenge
kwamba don't na not zinakaa sehemu mojaKwanza rekebisha heading , grammer haijakaa vizruri ni “i dont not play”
Ahsante na shukraniKwanza rekebisha heading , grammer haijakaa vizruri ni “i dont not play”
Unaweza tumia is na and kwenye sentencing mojaMy spiritual life are❌
My spiritual life is ✅