Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,580
Hizi kambakoche sasaKidole changu cha mwisho ni kinene kuliko kiuno changu
Hizi kambakoche sasaKidole changu cha mwisho ni kinene kuliko kiuno changu
Ras Simba anahitajika huku kunyoosha Kiingereza.Sina historia ya kuwa kiongozi serikalini, sina historia ya kuwa mwanachama wa chama chochote na watakaoniweka madarakani ni nguvu ya wananchi
Sina umri wa miaka wa kikatiba wa kugombea Urais ila nipo kwenye kinyanganyiro cha urais narudia tena nguvu ya wananchi ndo watakaoniweka madarakani
MIMI NI WINGA NA NALISEMA HILI PASIPO KUOGOPA AU KUONA AIBU TUNAJUA HUKU JAMIIFORUM KILA MTU ANAVIMBA ILI AONEKANE ANA FEDHA MIMI SIO MASKINI WALA TAJIRI
sijasoma masomo ya science niliyakimbia tokea form two ila idea za science nilizokuwa nazo ni za ki-legend sijisifu hapana ndo ukweliSupport hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
My spiritual life are extreme chaotic, painful and legendary
Kidole changu cha mwisho ni kinene kuliko kiuno changu
Hongera sana na Ahsante kwa kushirikivichaa ni wengi sana aisee
Hongera na Ahsante sana kwa kushirikiRas Simba anahitajika huku kunyoosha Kiingereza.
Am not play by the rules
Play❌
Playing✅
Au nasema uwongo?
Sio wote waliosema mimi nina-akili kuna ambao wamesema mimi ni kijaa na mjinga ni mitazamo ya watuHuu uzi nimechanganyikiwa sana, naona vitu sielewi halafu kuna wadau wanakuja wanamwambia mtoa mada ana akili sana kwahyo nagundua mi sijamuelewa kwa ujuha wangu... enewei mheshimiwa, naomba unikumbuke hata unaibu waziri mkuu
Mimi nimejisemea mimi na sijawaambia watu(2 Nyakati 10:10).
Kidole changu Cha mwisho ni kikubwa kuliko kiuno changu.
...Mwisho wa kunukuu....
Kauli hii kama ilivyotumika ni ya kuonyesha kibri, kwamba ukipewa Nafasi, utawaumiza na kuwakandamiza wote watakaokuchagua.
Sijui unafikiri Nini hasa.
Unaelewa ulichokiandika?Mimi nimejisemea mimi na sijawaambia watu
Rehobohamu aliwaambia watu ilihali mimi nimejisemea mimi huoni kama kuna utofauti
Nakuonaga mara nyingi sana unajiona sana unaju biblia hata mimi naijua biblia nimeshaisoma na kuimaliza zaidi ya mara nne kuanzia kitabu cha mwanzo mpaka ufunuo wa Yohana
Rehobohamu aliwaambia makabila kumi sababu yalikuwa tayari yameasi in-short alikuwa anawaambia waasi kwamba kidole changu ni kinene kuliko viuno vyenuUnaelewa ulichokiandika?
Kwamba umejisemea ulimaanisha Nini?
Ahsante na shukrani sanaTuko pamoja Mr. President.
Kwani ni kosaMbona kama unatafuta attention sana...
Huyo mfalme alikataa ushauri wa wazee wenye kutumia busara walipomshauri akae vizuri na watu wale Ili wamtii aweze kutawala bila shida,Rehobohamu aliwaambia makabila kumi sababu yalikuwa tayari yameasi in-short alikuwa anawaambia waasi
Kauli ya Rehobohamu hakiuwa na kosa lolote sababu ulikuwa ndo ukweli wenyewe na alikataa ushauri wa wazee wa kuwambia uongo a.k.a maneno matamu
Wale walikuwa tayari wameasi unategemea nini na tayari walikuwa wameshamrudisha Yerohohamu kutoka misri kama mfalme wao mtarajiwa ulitegemea Rehobohamu awajibujeHuyo mfalme alikataa ushauri wa wazee wenye kutumia busara walipomshauri akae vizuri na watu wale Ili wamtii aweze kutawala bila shida,
Mfalme akawapuuza na kusikiza ushauri wa vijana waliomshauri awatendee jeuri zaidi,
Na matokeo yake, ushauri wa vijana, ulimponza, ukatokea uasi, mkoloni yake yakaparaganyika.
Sasa nikuulize Tena,
Unajua ulichokiandika bila kutafsiri vyema na madhara yake?
Kwahiyo unawaammbia watu wkuchague Ili uwe diktera,Wale walikuwa tayari wameasi unategemea nini