I could be......

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,885
I could be....
Someone you can run to
When you are a loner
Just like a flower
Spreads its gay arms
Embracing the bee
To suck its nectar..

I could be..
Someone you can count on
When everyone else doth apart you,
So more like that shadow
Never leaving you side
Even for once.
A truer dear friend.

I could be..
Your bonafide lover,
Never holding back
The features of my heart
Your ever glowing amber
A rare coveted treasure..
Your very soul provider

Yes,I could be...
Everything you ever needed
The rain,the wind,the seed
Your love,your joy,your everything..
Pity.deep inside i just feel
All that act would be surreal
So i just wanna be me for a while...
 
Mwali, umefuata nini huku?
Tumekuja kukaa huku na wewe umekuja
Ntakuwa sikumwiti wa kwenda naye Fishing . . .

Hiyo signecha yake hata sijui anamaanisha nini
Anyway, tumchekeshe basi.

Kongosho, mmemfanya nini The Boss? mbona so sad?
Nimecheki na signature yake inatia huruma kwa kweli...
 
Last edited by a moderator:
Mwali, umefuata nini huku?
Tumekuja kukaa huku na wewe umekuja
Ntakuwa sikumwiti wa kwenda naye Fishing . . .

Hiyo signecha yake hata sijui anamaanisha nini
Anyway, tumchekeshe basi.
Sorry! niliona The Boss na Kongosho nikajileta
Si unajua mi ni biggest fan wa couple yenu?
Kama unataka afurahi tafuta msaidizi bwana
The Boss anaonekana he feels lonely,
we nae umezidi kutaniana na yule Mhaya (amefulia)
 
Ha ha ha ha ha Mwali
Maneno na jicho, ukinipeperushia ndege yangu
Ntahakikisha business patina nampaisha pia.

He is not not lonely, anadeka tu.

Business patina ananipotezea muda tu.
Yani toka Erotica aingie hii forum hanioni tena
Hata nifanye nini naona kama I am transparent
Nadhani nitajirudilia kwa Saint Ivuga miye.
But kama kuna nafasi ya small house hapo sema
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha, not you
Michelle alinisumbua sana kumuondoa
Na wewe tena jamani? Mtaniua

Nikuitie business patina hapa?

Let's try bwana, but nina wasi wasi hawezi kuja
Nimemuona pande za MMU na chit chat...
Turudie tena kwenye u-nyumba ndogo
wacha uchoyo Konnie, changia na ngugu...
 
Please, sio huyu bana

Ntakupa vingine vyooote
Bora nimwite EMT, anajali sana
Kumbuka tu zile mention za kwanza
Na kasema tunaenda weekend gateaways
Ila na mie naalika mtu mmoja lol

Hii gate away mbona tumeisubiri kwa muda mrefu sana?
Halafu huyu mtu wako sijawahi ona akisema nia yake wazi
Twende tu mimi na wewe au ndio tukafanye trial period,
Twende wewe mimi na The Boss tuone ... he is borred.
 
Last edited by a moderator:
Undergun point, siwezi enda TB afu na wewe
You can shoot me, happily.:smiling:

Sasa wewe hujielewi
Ndo maana hatuendi
EMT yuko tayari, ila alikataa fishing

Kweli naona umenikatalia, sio vizuri ndugu yangu
Nambie basi tutaongea next time, mi nimedhamiria.
Sasa mwambie EMT na mimi niko tayari for fishing
Hao samaki tunavua kwa ndoano au kwa makira? :fish2:
 
Last edited by a moderator:
Huyu, kwa kweli hapana jamani
Yaani kamoja tu afu niwagaie, siwezi

Huyo anataka yeye ndio awe fish
Na wewe uwe mvuvi lol
Wee hujui kusoma alama za nyakati?

Hahahahahaha, yani usione nimekaa kimya sana ,
nilikua bado najaribu kuelewa unazungumza nini.
Kumbe leo tunavua kadagaa? I love dagaa. lolest.
 
Mwali, umeona The Boss alivyokuchenga kiaina?
He is just being sweet, hataki kwenda na wewe.

Poleee . . .
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom