Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,875
ana shida gani preta?
si hinna Sma.....wewe unapakaga hinna.......? babe wake anataka apake hinna........babe walikutana kwenye mtandao.......
ana shida gani preta?
na hizo rice rice?si hinna sma.....wewe unapakaga hinna.......? Babe wake anataka apake hinna........babe walikutana kwenye mtandao.......
Ohh yeah!A network husband with no sense of humour!hinna?!
He has been so tough and tht inanisumbua sana yeye kila kitu yake anataka ifuatwe au itahamaki 2weeks and anapenda kuona kila siku I apologize endlessly bt stil I cnt forget him am weak n perhaps he knows no matter what he do I will stil follow him behind pls wht to do to move on
umenichekesha hapa hadi nahisi umeniongezea siku za kuishi.kweli wewe ni smile.anatakaje eti..hebu nieleweshe mi sijui kusoma kiarabu
He has been so tough and tht inanisumbua sana yeye kila kitu yake anataka ifuatwe au itahamaki 2weeks and anapenda kuona kila siku I apologize endlessly bt stil I cnt forget him am weak n perhaps he knows no matter what he do I will stil follow him behind pls wht to do to move on
Thanks guys am inspired I
wont feel guilty anymore n I wil try to move one even if he wont
remamber a single good deed I hv to him n tht stil pains
kwani hata nimemuelewa basi mammie. . .anatakaje eti..hebu nieleweshe mi sijui kusoma kiarabu
Sasa hapo umeshaona kasoro zake je unadhani ukiishi nae atabadilika? Jitahidi kuangalia uhalisia wa jambo na si kuendelea kufuata feeling. Maisha hayako kama unavyofikiri my dear. Hebu kaa anza kuiona hali halisi na fanya maamuzi ya kikubwa tena ushukuru kuingia humu JF maana itakusaidia kukupa ushauri sasa kazi kwako kufanya maamuzi. Nimejitahidi kuisoma habari yote kwa taabu na nimejitahidi kuilewa hapo kwa huyo mchumba wako hakuna maisha yaelekea huyo anataka kuikaanga roho yako na atakutesa mdogo wangu. Lakini mwisho wa yote wewe ndio mwamuzi.But yeye inataka kila kitu ile anaitaka me nifanye na in case he made mistakes he doesn't want me wnt to point it out if he doesn't want to reason he says he dnt hv tym to bla bla only I have to do as he say n close the story n I hv to act as a girl n be obidient
anatakaje eti..hebu nieleweshe mi sijui kusoma kiarabu