Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Hahaha wacha maneno yako, me mzima,..... sijui wewe. Nipo likizo ya kukumissmods watakua
wamenifanyia figisu
Mzima?...I miss you
Hahaha wacha maneno yako, me mzima,..... sijui wewe. Nipo likizo ya kukumissmods watakua
wamenifanyia figisu
Mzima?...I miss you
nipo poa pia...nafurahiHahaha wacha maneno yako, me mzima,..... sijui wewe. Nipo likizo ya kukumiss
Ndo kusema umeisahau ile hekaheka ya juzi?nipo poa pia...nafurahi
kama upo salama
likizo...that's means you
don't want to miss me
naikumbuka sanaNdo kusema umeisahau ile hekaheka ya juzi?
Nipo njiani nakuja, tuje tuongee kwa kinanaikumbuka sana
imenifanya niwe mpole
na wewe umeacha kusema neno
tukiwa pamojaNipo njiani nakuja, tuje tuongee kwa kina
Nadhani umefurahi mnooo jj kakupunguzia competitionnimekuanzishia uzi pia,
umeuona?!
Hahah..Nadhani umefurahi mnooo jj kakupunguzia competition
Sema Paulo nae kusoma hajui na picha haonagiHahah..
nimefurah kama namuona
Paulo taratibuuuu...
Paulo kazi yake ni kusambaza injili tu ha ha ha
Hahah wacha tuone!Paulo kazi yake ni kusambaza injili tu ha ha ha
Hahahaaa.....fursa hiyoHuyu P ananishawishi ujue