Ngoja nipeleke hizi habari njema kwa baba paroko, tuanze vikao vya jumuia..... USITUANGUSHE
Kumbe chuga kuna wajanja eeh?!! ngoja nivae helmet kabisa.....🙂🙂🙂🙂🙂Kijana wa Chugga anaflow American english with Slangs kama vile yupo Alabama au Long beach......mpaka bibie kamkubali.
Can be a good start,
Shilole atakutafuta lolNdio raha ya kusoma english medium, ona sasa sisi wa kayumba tunakosa soko 🙂🙂🙂🙂
hahahaha...........yeye mwenyewe anajikongoja broken kibao, atakuwa na msaada kwangu kweli?Shilole atakutafuta lol
nimekuanzishia uzi pia,Ooooooooooooh
Hapana, wapi huko?nimekuanzishia uzi pia,
umeuona?!
Kweli? hujauona?Hapana, wapi huko?
Kweli tenaKweli? hujauona?
mimi ni Paulo sergio de souz hii ni id yangu natumia kujibu kiswahili tu, unaweza kuja pm kwa maelezo zaidi.🙂🙂🙂🙂
mods watakuaKweli tena