I am tired of keeping it by myself

wivuuuu unaniua jamani ila imekula kwako huyo Paulo Sergio De Souz ni padri na hayupo bongo yupo visiwa vya mayote
Mkuu mbona maneno mengi jamani? I said it kabisa napenda tu anavyo comments na najifunzaga kingereza kutoka kwake.

that is all, tena akiwa padri ndo raha yangu maana atanifundisha ya rohon pia
 
Mkuu mbona maneno mengi jamani? I said it kabisa napenda tu anavyo comments na najifunzaga kingereza kutoka kwake.

that is all, tena akiwa padri ndo raha yangu maana atanifundisha ya rohon pia
kama ni kiinglish we nenda kwa ras simba tu hakuna namna ,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom