Sijaelewa hapo kwenye bold huyo mdogo wako uliyekuwa unamuuliza ni kiume au wa kike? sijaelewa kwakweliKweli ukubwa jalala.
Ni kipindi cha likizo na nina watoto kibao nyumbani. Sasa changamoto niliyonayo ni binti about 16 mtoto wa kaka yangu, ambaye kazaliwa nje ya ndoa na bahati mbaya mama yake alishatangulia mbinguni. Binti ni mrembo sana kama ambavyo binti at 16 anavyokuwa. Amelelewa umamani ingawa anakuwa boarding muda mwingi. Mama yake mkubwa ambaye alikuwa akiishi naye kaolewa na waarabu hivyo ndugu zake alikua nao ni wa mila za kiarabu.
hapa pia nina watoto wengine wa dada zangu ambao ni wa kiume. Sasa binti anakuwa na mazoea ya ajabu na kijana mmoja, kiasi kwamba hadi kijana amehisi tofauti na kunionya kuwa nimuangalie cousin wake asije akaharibikiwa.
Katika kutafuta pa kuanzia si nikamuuliza mdogo wangu. Naye kanipa observations zake na zaidi ni kuwa wakilala kitandani anamkumbatia.
Sasa sijui nianzie wapi. Naongea naye nini? Je ni mila za kiarabu binti kuwa karibu na kaka mtu kiasi cha kukaa huku umemuegemea? Na kwamba akiondoka unalia? Maana kijana imebidi afunge simu.
BTW simu sijampa anatumia ya maid au aunt yake mdogo.
nimechanganyikiwa
Mbona mimi sioni tatizo kama anajenga mazoea hayo na kaka yake ni njia mojawapo ya kuonesha upendo it all seems so innocent!kwa umri huo damu inamchemka na probably ameshavunja ungo kwahio mshawasha wa ile kitu ya kikubwa unakuwa juu chakufanya ni akalishwe chini afundwe kuwa msichana hatakiwi kuwa na mazoea ya karibu na mwanaume kutokana na umri wake hasa mwanaume yoyote na apewe consenquences!mm nakumbuka nilipobalehe nilipewa kungwi akanifundisha mengi tu kuahusiana na mabadiliko ya mwili wangu na mazoe na wanaume hata kuavoid kukutana kimwili na mwanaume kabla ya ndoa!
Hili lilitimia ??
Usihofu kumkanya au kumpa haki ya bakora kama itawezekana maana huyo ni mwanao kabisa!
Mkuu miaka 16 ni binti mkubwa huyo...bakora tena!!!
Unachapwa tu kama haueleweki.Tena angekuwa kwa mama yangu ndio angejua maana ya fimbo hata uwe na 20 na ushee ukimzingua mama yangu anakupiga tu
Kweli ukubwa jalala.
Ni kipindi cha likizo na nina watoto kibao nyumbani. Sasa changamoto niliyonayo ni binti about 16 mtoto wa kaka yangu, ambaye kazaliwa nje ya ndoa na bahati mbaya mama yake alishatangulia mbinguni.
Binti ni mrembo sana kama ambavyo binti at 16 anavyokuwa. Amelelewa umamani ingawa anakuwa boarding muda mwingi. Mama yake mkubwa ambaye alikuwa akiishi naye kaolewa na waarabu hivyo ndugu zake alikua nao ni wa mila za kiarabu.
hapa pia nina watoto wengine wa dada zangu ambao ni wa kiume. Sasa binti anakuwa na mazoea ya ajabu na kijana mmoja, kiasi kwamba hadi kijana amehisi tofauti na kunionya kuwa nimuangalie cousin wake asije akaharibikiwa.
Katika kutafuta pa kuanzia si nikamuuliza mdogo wangu. Naye kanipa observations zake na zaidi ni kuwa wakilala kitandani anamkumbatia.
Sasa sijui nianzie wapi. Naongea naye nini? Je ni mila za kiarabu binti kuwa karibu na kaka mtu kiasi cha kukaa huku umemuegemea? Na kwamba akiondoka unalia? Maana kijana imebidi afunge simu.
BTW simu sijampa anatumia ya maid au aunt yake mdogo.
nimechanganyikiwa
Hili lilitimia ??
Unachapwa tu kama haueleweki.Tena angekuwa kwa mama yangu ndio angejua maana ya fimbo hata uwe na 20 na ushee ukimzingua mama yangu anakupiga tu
Haikuhusu kama lilitimia au lah!
Unachapwa tu kama haueleweki.Tena angekuwa kwa mama yangu ndio angejua maana ya fimbo hata uwe na 20 na ushee ukimzingua mama yangu anakupiga tu
Thubutuuu
Haikuhusu kama lilitimia au lah!
wewe nijibu tu mbona mengine umesema ??
hakuna atakaye kushangaa hata yule bibie mwenye itikadi kali hakuolewa akiwa sealed
Na imesaidia au inasaidia chochote?