Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,530
- 13,466
Kweli ukubwa jalala.
Ni kipindi cha likizo na nina watoto kibao nyumbani. Sasa changamoto niliyonayo ni binti about 16 mtoto wa kaka yangu, ambaye kazaliwa nje ya ndoa na bahati mbaya mama yake alishatangulia mbinguni.
Binti ni mrembo sana kama ambavyo binti at 16 anavyokuwa. Amelelewa umamani ingawa anakuwa boarding muda mwingi. Mama yake mkubwa ambaye alikuwa akiishi naye kaolewa na waarabu hivyo ndugu zake alikua nao ni wa mila za kiarabu.
hapa pia nina watoto wengine wa dada zangu ambao ni wa kiume. Sasa binti anakuwa na mazoea ya ajabu na kijana mmoja, kiasi kwamba hadi kijana amehisi tofauti na kunionya kuwa nimuangalie cousin wake asije akaharibikiwa.
Katika kutafuta pa kuanzia si nikamuuliza mdogo wangu wa kike. Naye kanipa observations zake na zaidi ni kuwa wakilala kitandani anamkumbatia.
Sasa sijui nianzie wapi. Naongea naye nini? Je ni mila za kiarabu binti kuwa karibu na kaka mtu kiasi cha kukaa huku umemuegemea? Na kwamba akiondoka unalia? Maana kijana imebidi afunge simu.
BTW simu sijampa anatumia ya maid au aunt yake mdogo.
nimechanganyikiwa