Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,244
ZD, are you a chaggian girl? Just for my personal interests.
Chrispin,
Mimi Mfipa na bahati nzuri hicho kifipa sikijui.Lakini naishi na wachaga na watu wa makabila tofauti toka utoto wangu.Na kwa ajili hiyo nimeona kuwa tabia ni ya mtu mwenyewe hasa kizazi hiki cha sasa.Nasema hivo kwa sababu hata wazazi wengi ikiwa pamoja na wangu wana hisia mbaya kuhusu wachumba wa kichaga na hii imeleta kuumiza watu na kuingilia mapenzi ya watoto wao.Haifai katika jamii.
Haya bana..... why dont you guys leave them alone then?Nina rafiki yangu wa karibu ambaye ni Mchaga, yeye alini caution kabisa kwamba dada zetu wa kichaga huwawezi wana matatizo. Hao tunawaweza sisi wachaga wenyewe! Akaongeza kuwa hata mimi ingawa ni Mchaga sifikirii kuoa Mchaga. Kweli Bwana at the end of the day hakuoa Mchaga. Alikuja kuoa binti wa Kisukuma.
These Chagga girls are dangerous to marry/commit.
Nina rafiki yangu wa karibu ambaye ni Mchaga, yeye alini caution kabisa kwamba dada zetu wa kichaga huwawezi wana matatizo. Hao tunawaweza sisi wachaga wenyewe! Akaongeza kuwa hata mimi ingawa ni Mchaga sifikirii kuoa Mchaga. Kweli Bwana at the end of the day hakuoa Mchaga. Alikuja kuoa binti wa Kisukuma.
These Chagga girls are dangerous to marry/commit.
Nina rafiki yangu wa karibu ambaye ni Mchaga, yeye alini caution kabisa kwamba dada zetu wa kichaga huwawezi wana matatizo. Hao tunawaweza sisi wachaga wenyewe! Akaongeza kuwa hata mimi ingawa ni Mchaga sifikirii kuoa Mchaga. Kweli Bwana at the end of the day hakuoa Mchaga. Alikuja kuoa binti wa Kisukuma.
These Chagga girls are dangerous to marry/commit.
kidume unazidiwa vipi ujanja na mtoto wa kike??..kumbukeni the issue hapa ni chagga girls wako smart sana!! na wanapenda mwanaume mchacharikaji, sasa kama wewe uanaume wako upo kwenye kumega tu basi huwezi kuwa na nafasi kwa demu wa kichaga. finito!!!
Anecdote! anecdote! anecdotes!Can you guys come with statistics kwenye hii ishu? Ni ndoa ngapi zimevunjika ambazo zimesababishwa na mke kuwa mchaga. To my understanding wanawake wa kichaga ni wavumilivu sana ktk ndoa zao na niwachapakazi hodari.
Thanks ZD, labda kaswali ka mwisho; Have yo ever dated a chaggian boy?
Yes nimewahi tena very serious relationship yenye heshima.Swali la mwisho unakoelekea siko kwenyewe,kama una swali la nyongeza ni-PM.
..Nguli napenda huyo dogo anavyojifua hapo kwenye avatar yako!!! We shemeji yangu nakuheshimu nina dada yako wa kichaga ananipa raha siwezi kusimulia!!! acha kabisa eeh!Ruwa oko mangi....kiruuu! Kibo! Kyachakiche where are you?
mpaka kufikia mwaka 2000 wanawake wa kichaga walikuwa
wameweka rekodi ya aina yake tanzania ambayo inaweza
isivunjwe milele......
Mke wa rais.......mchaga.....anna mkapa
mke wa waziri mkuu...mchaga...ester sumaye
mke wa rais wa zanzibar mchaga...salma salmin
mke wa waziri wa viwanda ....mchaga ..mrs iddi simba
na kadhalika kadhalika....
Kumbuka watu wote hao niliowataja sio wachaga.....
OK,
Jibu rahisi ni kuwa, kaoe kwenu!
Nimeipenda sana hii, big up Nono!