Weera weraaaa
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 740
- 657
- Thread starter
-
- #41
ndiyo! Ni shemeji huyo ujue
kwa nini Free Thinker? Unadhani pepo laweza fanya uvamizi?
ndo hvyo,ili likiruka,unalikwepa!
Vipi. Mezea ndivyo walivyo...............God be with u.
Aaaah Free Thinker siwezi ,tena siwezi kabisa huyu shemeji yangu na ninamheshimu huyu bro wangu Arushaone
Amen!
Wiki ijayo nitakuja kwenye tamasha mbezi.
Ni tarehe 26/10
Karibu nategemea hata mie nitaenda kuona
wanavyoimba.
Ni sehemu gan yanafanyika?
KKKT mbezi beach.
Karibu sana,
Kuna kwaya zinaimba sana,
Ukiona utapenda.
Jitahidi usikose, yaanza kwenye saa tatu.