Jaribu kutumia sigara ----- utachangamka...
niombee nioe mwaka huu mtani,ila usisali ukiwa na wivu
kumtolea bwana usijali maana mi ndo pastor nafahamu kila process za upakohahahaaa, mtani wivu wa nini tena mie? Leo usiku nitasali kwa ajili yako na kuanzia kesho utaona miujiza jinsi itakavyoanza kutendeka, ila kumbuka kumtolea bwana ili ujiongezee baraka
hahahaaa, mtani wivu wa nini tena mie? Leo usiku nitasali kwa ajili yako na kuanzia kesho utaona miujiza jinsi itakavyoanza kutendeka, ila kumbuka kumtolea bwana ili ujiongezee baraka
hahahaaa, mtani wivu wa nini tena mie? Leo usiku nitasali kwa ajili yako na kuanzia kesho utaona miujiza jinsi itakavyoanza kutendeka, ila kumbuka kumtolea bwana ili ujiongezee baraka
Aaaah Free Thinker siwezi ,tena siwezi kabisa huyu shemeji yangu na ninamheshimu huyu bro wangu ArushaoneHahaha... Excellent hachelewi kung'ang'ania Lady doctor ndo uwe muujiza wenyewe,lol!
Weye weye wataka kumuua mwenzio..
kumtolea bwana usijali maana mi ndo pastor nafahamu kila process za upako
Hahaha... Excellent hachelewi kung'ang'ania Lady doctor ndo uwe muujiza wenyewe,lol!
Pole mi pia siko sawa, i just need someone to comfort me!!!!
basi sawa mtumishi muda si mrefu nitakuambia ufumbe macho yako kwaajili ya maombi
hahahaaa hilo litakuwa ni pepo aisee maana huyu mtani wangu tunaheshimiana
hahaha,eti ee!!