Tuttyfruity
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 2,405
- 6,281
Hapa ndiyo panakukondesha...Huyu chalii nilikutana nae few months ago yani alikua na kila kitu nilichokua natafuta. Nikajiona nimefika bhna, kumbe
Haahaa swali gumu.Alikuwa anaweza kusex vizuri na wewe?
Tayari nahuyo umeshamkinai
Bongo bana unahitajika uwe na Akili sana
Watu ndo mimi na wewe BossDunia ni watu na watu ndo nyinyi
Acha mbwembwe wewe !!!Mambo yake ndo yamenifanya nimkinai.
Hadi sasa harrier inajaa vizuriEndelea ivoivo ukijatahamaki umejaza YUTONG
NyokoloYou're desperate housegirl