I am scared!!

I am scared!!

Yo Yo anahaha sana aiseee....unajua jamaa hajui kutema sumu....ndio maana hata hainishangazi kila anapo test zali anapigwa kibuyu tu....ahahahahaha

hahahaha!.akaona ngoja aanza na kusema mbona hujibu aone atajibiwa nini...kazi kweli kweli tatizo la yo yo ni kwamba hajatuliya na hajui nini anataka yeye anajaribu kila sehemu ndiyo maana anapigwa kibuyu....

cupcake hebu lets sit and watch what will happen next btwn Nee and YO YO...
 
Unajua nini Cupcake..Yo Yo needs to step his game up...aache mambo ya ki Soulja boy....anahitaji swagga....
 
kelly01, pole sana kwa masahibu... hope pumpkin wako atasolve tatizo ....

pssss... usimsimsikilize YNIM, huyo ameanza zamani attempts zake za kuku-entice na ku-move kwenda karibu anapopoa Boston kama sijakosea.... halafu kukaa kwake mjini thru out huchelewi kukuta mambo ya deal za indicators, hifi na wheelcaps ndio zake... 🙂
 
Thank you My shemeji Steve D...AND where have you been?tulikuwa tunakuteta sana jana hapa na kaka zako (cupcake and masanilo)...hope all is well...me i am doing great leo i am back to normalroutine with smiley on face u know....but jana was hell...Cupcake amenisaidia sana you knw to hold me tight and caresing...
 
Basi Mods wameiblock......ngoja nijaribu tena.....

hahahahaha uwiii yo yo u never cease to amaze me...seee i knew it ulikuwa unajaribu zali kwanza duuh wee kiboko...cupcake ameshasema acha hizo za akina solja boy!! hazina nguvu.
 
Yo Yo anahaha sana aiseee....unajua jamaa hajui kutema sumu....ndio maana hata hainishangazi kila anapo test zali anapigwa kibuyu tu....ahahahahaha

hahahaha!.akaona ngoja aanza na kusema mbona hujibu aone atajibiwa nini...kazi kweli kweli tatizo la yo yo ni kwamba hajatuliya na hajui nini anataka yeye anajaribu kila sehemu ndiyo maana anapigwa kibuyu....

cupcake hebu lets sit and watch what will happen next btwn Nee and YO YO...
aisee mbona mnaniua namna hii? mbona mnamjaza sumu mbaya Neemah hana nia mbaya kama mnavyofikiria....
 
just step your game up.....totoz inakaribia kumi na nane halafu wewe unaleta mambo ya yuuuuuuuuuuuuuuuu
JF bwana watu wanaweza kukuundia kashfa basi tu.....za kisoulja boy sio zangu hizo anazo YNIM....
.....Neemah nimetuma tena angalia kama umepata...
 
kelly01, pole sana kwa masahibu... hope pumpkin wako atasolve tatizo ....

pssss... usimsimsikilize YNIM, huyo ameanza zamani attempts zake za kuku-entice na ku-move kwenda karibu anapopoa Boston kama sijakosea.... halafu kukaa kwake mjini thru out huchelewi kukuta mambo ya deal za indicators, hifi na wheelcaps ndio zake... 🙂

Mazee I hate the so called huwa ananitusi sana YNIM, halafu mnamwachia tu hamfungii mnamwogopa ? Ule mola lakini!!
 
shem unaonekana upo mad! what happen?.

Shem wangu kuna siku huyu YIMN alinitusi, nina hasira naye !! Mods walichokifanya nikufuta matusi yake lakini mimi bado nimemmaindi .....hahahaha anyway nimemsamehe bure......nitarudi baadaye nawahi ile sehemu......kifupi nipo vizuri na Ha....ri PM kibao hahahahaha!!

Cheers
 
Fungia JF hapa....mkorofi sana huyo YIMN!
tehe tehe tehe jamaa mbona peace tu.....huwa akishautwika inabidi umuendee pole pole....otherwise jamaa bonge la msela na wale masela zake wakina kuzatika
 
Shem wangu kuna siku huyu YIMN alinitusi, nina hasira naye !! Mods walichokifanya nikufuta matusi yake lakini mimi bado nimemmaindi .....hahahaha anyway nimemsamehe bure......nitarudi baadaye nawahi ile sehemu......kifupi nipo vizuri na Ha....ri PM kibao hahahahaha!!

Cheers

hahaah haya nenda kajifue...yeah H kaniambia mambo motmoto....alafu naonamko same field uh!..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom