Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
au alitaka umfanye kaserengeti boy kaaaaaaake!jamani leo nimeshangaa sana kukutana na mkaka wa miaka 30 akisema hayo maneno.
Nijuavyo wakaka wengi hawapendi kuambiwa wadogo. Nyumbani kwangu ukitaka kumkosesha raha mwanangu wa miaka 4 mwambie "you are a small boy"
sasa huyu zee zima, tena mume wa mtu ana matatizo gani kusema he is just a small boy?
Mimi nimeshindwa kuelewa kwa kweli, labda wanasaikolojia akina watu8 na wengine mnaweza kunisaidia kunielewesha hapa
tulikuwa mimi na mkaka mwingine tunakula, tukaanza kuongelea mambo ya familia, kujijenga kifamilia na mambo kama hayo.Inategemea na mazingira na mada mliyokuwa mnaongea..Tupe habari kamili..ilikuwaje
mlongo wangu nimechekaje sasa?au alitaka umfanye kaserengeti boy kaaaaaaake!
NAULIZA TU dada mkubwa!lol
jamani leo nimeshangaa sana kukutana na mkaka wa miaka 30 akisema hayo maneno.
Nijuavyo wakaka wengi hawapendi kuambiwa wadogo. Nyumbani kwangu ukitaka kumkosesha raha mwanangu wa miaka 4 mwambie "you are a small boy"
sasa huyu zee zima, tena mume wa mtu ana matatizo gani kusema he is just a small boy?
Mimi nimeshindwa kuelewa kwa kweli, labda wanasaikolojia akina watu8 na wengine mnaweza kunisaidia kunielewesha hapa
huyo ni type ya Mtambuzi kwao hata shikamoo inamnyima raha,wanapendelea totoz
jamani leo nimeshangaa sana kukutana na mkaka wa miaka 30 akisema hayo maneno.
Nijuavyo wakaka wengi hawapendi kuambiwa wadogo. Nyumbani kwangu ukitaka kumkosesha raha mwanangu wa miaka 4 mwambie "you are a small boy"
sasa huyu zee zima, tena mume wa mtu ana matatizo gani kusema he is just a small boy?
Mimi nimeshindwa kuelewa kwa kweli, labda wanasaikolojia akina watu8 na wengine mnaweza kunisaidia kunielewesha hapa
niliiona ile, mimi nikamwomba aniamkie nasubiria hajaanza kufanya hivyo bado.si kaseeeeeeeeeeeeeeeeema tusimwamkie!sasa kumbe manake nini si ndo anasema kuwa yeye he is just a small boy!
wapi le petit garcon Mtambuzi waaapi !UJE UBHAELEZE NDYO VILE UKO MUDOGO!bhananibishia bhandughu!
huyo ni twins wake wanafanana kwa kila kitu.
Bora angekuwa emoro ningemwelewa, yaani ni bonge la mtu....Huyo ni inferiority complex tosha!!! Akisa bf wako atakusumbua mtu ile mbaya!! Ha ha!! Kidume ni lazima uoneshe udume wako hata kama wewe ni mfupi kama EMORO!!