I am in deep pain...naomba msaada

ropam

Senior Member
Aug 11, 2010
173
35
Nimekuwa na maumivu ndani ya sikio kwa siku ya pili sasa...hamna kipele wala uvimbe, ni maumivu tu ambayo nayaskia haswa niki-apply pressure kidogo, nisipoligusa sisikii maumivu yeyote!
what could be the problem doctors...its like i cant sleep on this side of the ear!
 
Pole sana. Hakuna uchafu unaotoka? Unaskia kelele kwenye sikio? Unaonaje ukaenda hospitali ili uchunguzwe mapema?
 
unaweza kuanza kwa kudondoshea mafuta ya kuku kiongozi,ni first aid nzuri!
 
Tafuta boric acid ear drops....dondoshea matone mawili three time in 24 hrs nikimaanisha kila baada ya masaa 8, then lisafishe...kama hari haitabadilika peleka likaanagliwe.
 
Mkuu Ropam,..pole, ni vizuri kujua kama kuuma kwake ni ndani au nje ya sikio, kama kuna uchafu unaotoka,? kama unatoka ni nini damu, usaha, maji maji,( rangi yake)? ..
je upande wa pili halina shida?.. kama nalo lina shida ni saaa na upande chuo mwingine?..vipi uwezo wa kazi yake(kusikia) iko sawa au umepungua?

Sikushauri kuweka kimiminika chochote masikioni, nenda kaonane na daktari wa masikio.
 
Back
Top Bottom