I am desperately looking for a job | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I am desperately looking for a job

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by carmel, Sep 30, 2009.

 1. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Nisaidieni ndugu yenu. Hadi nimefikia uamuzi wa kuomba msaada, mjue nimefikiwa na maji shingoni.
  I am a lady, a sociology graduate frm UDSM (gpa 2nd class honors), MscHRM -Mzumbe (doing dissertation now). Nina experience ya administration na HR, na pia social work na research.
  Kwa sasa nina ajira ya muda lakini haikidhi kabisa, i feel i am losing direction because i believe i have potentials lakini what i am doing right now does not reflect my qualifications and experience, i think i am killing my career and i might end up totally frustrutated.

  I need counselling on this pls , najua kuna wazoefu wengi humu, wenye experience tofauti na Ma HR pia.

  Natafuta kazi kama hizo nilizomention hapo juu na pia kama kuna mtu anaweza kunipa different ideas , i welcome them and i am open to challenges.

  Nangoja ushauri wenu hapa au hata kwa pm.
  Thanks.
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  lady habari za kazi kwanza na pole na majukumu yako kwa ujumla
  Mie nachokushauli endelea kutafuta kazi ambayo iko katika Prof. yako unajua kutafuta kazi ukiwa kazini si ngumu sana kama kutafuta kazi ukiwa hauna kazi ,

  kwa ushauri wangu soma magazeti ask ur friends kukusaidia kama watasikia nafasi za kazi sehemu ,Itakuwa nzuri zaidi .

  Lakini kama mie Binafsi nimesomea kitu kingine na nikafanya kazi nyingine baada ya kuonahii kazi ambayo sikusomea inanilipa ikabidi nianze kuisomea haraka hatimayo niko Full kujiachia
  all the best
   
 3. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2009
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 509
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Dada carmel, kuna watu wengi sana hapa duniani wanafanya kazi ambazo either hawakusomea au sio fani zao-hivyo usiwe frustrutated. Cha muhimu ni kazi.

  Nakushauri kaa na hiyo kazi yako huku ikiangalia kazi nyingine sio lazima kwanza iwe uliyosomea. Unaweza kupata kazi kwenye kampuni au shirika ambalo linafanya mambo uliyosomea ila kwenye idara nyingine..halafu kukawa na nafasi baadae kule unakokutaka (ukiwa ndani ni rahisi..shida ni kuingia). Mvumulivu ula mbivu. Kila na heri
   
 4. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Definately siwezi kuacha jkazi niliyonayo bila kupata ingine. sema tu nimetuma application nyingi mno hadi sasa kimya nado maana nimeona niombe msaada.
   
 5. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2009
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Pole sana dada Carmel.

  Kwa sasa, niseme kwa upande wangu sina jinsi ya kukusaidia kupata ajira - hata hivyo nina mawazo ambayo ningependa nikushirikishe pengine yanaweza kukusaidia leo, au hata baadae.

  Utakubaliana na mimi kuwa wengi hapa tanzania unaoweza kuwaita "intellectuals", watu ambo ni degree holders kuendelea mbele, wakimaliza chuo hao wanachofikiria ni kuajiriwa na kukaa kwenye office za watu - that's it. This's is really a bad mindset!

  Kama challenge kwako, kule Iringa kuna sehemu wanalima viazi. Kukodisha shamba, kuliandaa, kutafuta mbegu, na gharama nyingine zote mpaka kuvuna itakugharimu 500K hadi 600K kwa heka moja.

  Hekari moja yenye udongo mzuri, na kama ulifuata masharti vizuri - inatoa magunia ya viazi 80 - 70 wastani - ukikosa sana utapata 50.

  Bei ya gunia moja shambani ni Tsh 50,000. Uzuri ni kwamba Viazi havina msimu, hupandwa na kuvunwa mwaka mzima mara 4. Yaani ukipanda utavuna baada ya Miezi mitatu.

  Unaweza kuona kuwa heka moja inakuwa na return ya 50,000 x 80 = 4,000,000 ndani ya miezi mitatu. Kama mil 4 ni ndogo, ongeza mtaji kama 1M hivi, na utapata return ya 6M - 8M ndani ya miezi 3.

  Now nikuulize swali - Ni rafiki zako wangapi walioajiriwa wanapata kiasi hichi cha pesa in 3 months?

  Mimi nataka nianze kulima msimu unaoanzia January. Kwa sasa nimechelewa nimekosa mashamba watu wameshawahi.

  Dada yangu, mimi pia nilimaliza University of Dar es salaam, so ni degree holder kama "intellectuals" wengine. Tofauti ni kwamba, napenda zaidi intellectuals tuingie kwenye soko la kujiajiri.

  Kumbuka kuwa "Watu wote wanaweza kuajiriwa, lakini sio wote wanaweza kupata mafanikio ya maana kwa kuajiriwa"

  Kwa sasa najua utakuwa huna mtaji, au una pesa kidogo sana umeihifadhi. Nakushauri, mara utakapopata kazi nzuri, save hela kiasi then jaribu kufanya investment kama hizi - na mambo yako yatabadilika kwa muda mfupi.

  Na pia, unaweza kufanya mambo yote sambamba - yaani una invest huku unaendelea na ajira yako kama kawaida - hii inawezekana.

  Naomba niishie hapa. Nikipata muda, ntaandika huu mchanganuo mzima hapa JF ili wana JF wote wenye tatizo la kiuchumi iwe kama ni njia ya kujikwamua.

  Nakutakia kila laheri.
   
 6. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  carmel panua wigo wako wa kazi
  usishikilie kwenye hr peke yake, kuwa tayari/apply kazi za marketing, banking na nyinginezo
  najua huwezi kuwa engineer au dr lakini unaweza kufanya kazi nyingi tu kutokana na degree yako
  good luck

  ramthods
  mambo yote hayo yanahitaji mtaji
   
 7. jossey1979

  jossey1979 Senior Member

  #7
  Oct 1, 2009
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kaka sio uwongo hapo umenigusa! I will have to do a research on this!!!
   
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  samahani naombeni kuuliza hivi kazi ya HR unaweza kujiajiri kweli????
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,049
  Likes Received: 24,052
  Trophy Points: 280
  Dunia inazidi kuwa kijiji. Fikiria mtu ana Masters degree kama wewe anahangaika kutafuta kazi! Huko nyuma ukimaliza form six unachagua kazi ya kufanya. Wangu ni ushauri, usihangaike kutafuta kazi ya profession yako. Ukihangaika kihivyo itakula kwako. Kwa elimu yako unaweza kupata kazi nyingi tofauti tofauti. Inategemea unatafuta kazi wapi, manake hujaspecify. Ila kwa Dar ni akili kumkichwa. Mi nimesomea uhandisi lakini kazi nayoifanya wala haina uhusiano wowote na uhandisi. Na kibaya zaidi nafunika ile mbaya, kuliko hata wale ma-pro wenyewe.

  All the best darling.
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,049
  Likes Received: 24,052
  Trophy Points: 280
  Labda kama unataka kuwa Human resources Manager wa Nyumbani Co. Ltd.
   
 11. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #11
  Oct 1, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Inawezekena Firstlady kuanzisha private company kufanya recruitment, training na hata ku -initiate Hr system kwenye ofisi ambazo hakuna. Inawezekana kufanya hizi consultancies. Take off point ndo shida i gues.
   
 12. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #12
  Oct 1, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Nimeipenda hii idea yako, ni very interesting kwa kweli. Si kwamaba napenda sana kuajiriwa kwa kuwa tu nina elimu, no! Napenda kuona kila ninachofanya kina impact kwenye maisha yangu na ya wengine pia, niko tayari kujiajiri pia sema tu how to take off kama huna kitu kabisa.
  Thanks for a good idea though, i will try and work on it.
   
 13. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #13
  Oct 1, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Nakubaliana na weqwe Chrispin. Si kweli kwamba nataka kazi hizo tu nilizosomea, no, i am flexible and open to challenges as i said. Nikipata opportunity sehemu yoyote na kazi yoyote inayolipa, niko tayari. siyo lazima iwe Dar, hata mkoa, au nchi za jirani, i am ready.
   
 14. Z

  Zamazamani JF-Expert Member

  #14
  Oct 1, 2009
  Joined: Jun 13, 2008
  Messages: 1,624
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  Ramthods...!!!nakupa 5......mawazo uliyotoa ni sahihi sana!!! yaani mimi binafsi nina mawazo kama yako kabisa.!!!! Jamani tuache kufikiria upande mmoja wa kuajiriwa tu.,mara nyingi hakuna maendeleo ya msingi kabisa...Carmel ,kama ulivyoshauriwa hapo juu,unaweza tafuta ajira siyo lazima uliyo somea...lakini vilevile mawazo ya kujiajiri ni muhimu sana....mimi pia ni Masters Holder ..lakini baada ya kufanya kazi miaka 5 nimeona nijiingize kwenye projects za kilimo cha vitunguu kwanza,(ingawa bado naendelea na kazi)....lakini surely I am telling you , i will get somewhere .....Think about it....
   
 15. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #15
  Oct 1, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280

  :):) you make ma day thanx
   
 16. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #16
  Oct 1, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  unajua mie ndo maana nikauliza kazi za HR unawez akujiajiri ???
   
 17. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #17
  Oct 1, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  thanks
   
 18. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #18
  Oct 1, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kujiajiri sio lazima ujiajiri kwenye sekta uliosomea....naamini kwa mtu msomi ni kutafuta idea na kuimplement tatizo linakuja ni mshiko ila tusiwaze project kubwa sana tuanze na ndogo then unaendelea...si unaona ka mkuu hapo juu alivyosema ameamua kuingia kwenye kilimo sidhani kwa kuanzia unahitaji mtaji mkubwa sana....kwa hiyo HR sio lazima afungue consultancy maana hiyo inataka uwe mvumilivu kabla hujaanza kula matunda!!
   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  Oct 1, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,049
  Likes Received: 24,052
  Trophy Points: 280
  Ahsante kwa kuendelea kubadili avatar yako. Weka picha yako halisi tupige jaramba.
   
 20. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #20
  Oct 1, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  ha ha ha mi Dume mzee
   
Loading...