I am depressed. Naombeni ushauri

I am depressed. Naombeni ushauri

Nadhani ninaweza pata depression kama ningebaki navyo moyoni kichwa kinauma kwa kuwaza.

Unadhani huyo mumeo ndio hana hiyo depression?

Ndoa huwa ni ya wawili, wekeza nguvu kwenye ndoa yako maana nimeona umeandika sehemu kubwa ya mshahara wako umewekeza kusaidia wazazi na ndugu...
 
Sana, nadhani ali nishape Sana. Mwanae miaka 22 tu ila amesha oa.
Ndio inatakiwa hivyo, mimi father alinikatia ticket ya ndege miaka 47 iliyopita nikiwa bado mdogo sana akaniambia katafute maisha na Mungu awe nawe
Alinisindikiza mpaka nchi jirani, yeye akarudi zake
Mpaka leo namuombea Dua
Dunia hii ukipata wa kukupa ushauri au kukushika mkono na ukajitahidi basi Mungu atakuongoza
 
abarikiwe Sana, sema mkubwa kumbe ume kula chumvi sana 47 ni history .

Nawaza labda uli kuwa na 20, hahaha you're my senior aisee.
 
abarikiwe Sana, sema mkubwa kumbe ume kula chumvi sana 47 ni history .

Nawaza labda uli kuwa na 20, hahaha you're my senior aisee.
Ndio mkuu at that time nilikuwa 19 wakati huu Airport yetu kuna kila aina ya ndege ni chaguo lako tu
Kweli namlilia kila leo mshua alinipa njia
Na mimi wanangu nimewaongoza njia hiyo hiyo
In fewyears time nastaafu jina ila kazi siachi 😆 😂
 
hahaha, nili wahi kusikiliza story ya faroukh Karim yule wa Zanzibar.

ali pangiwa jeshi mkoani kigoma, aka ona wee siwezi aka danganya ana enda kuhiji maca Kisha aka potelea nchi za ma mbele.

ali kuwa baharia, yaani nilivyo kuwa namsikiliza ni Ile natural hustler kabisa.

Sasa senior Black Sniper kwanini hau staafu??, au ni mula ziko mingi kwa wakati huu.
so pulling out the socks, ni kuji danganya 😃
 
Jamaa katisha
Mimi naamini riziki anapanga Mola, kile kile ndio utapata
Mimi sio kwamba sintastaafu bali bado nina weka kufanya kazi ila ntapunguza speed ya kazi
Ntafanya usimamizi tu na kufanya siku 3 au 4 kwa wiki
Afya na nguvu kama ipo fanya tu
Kustaafu ni kupata mafao tu ila sio kuacha kazi 😄
 
Mimi mtazamo wangu niki fika 35, nta malizana na mambo yote Mola aki tia wepesi.

nakuwa nafanya kitu fulani kwa passion, huku niki furahia maisha hapa na pale.(Sio bata ni kusafiri ishi huku au kule).

kuwa na a giving privilege, nime ona na nime ishi nao baadhi watu Wana hitaji msaada Sana.
Nisha enda kijiji fulani kusaidia kuweka kisima , watu hadi Panadol kupata ni mtihani.(No money).
 
Mungu akufanyie wepesi hata hiyo ni kazi kubwa sana na unajiwekea akiba mbeleni
Kila la kheri mkuu
Hii dunia ni mapito tu tufanye ihsaan sana
 
Njoo inbox tuyajenge Nina mwanamke naye kazi yake ni kutumia Hela tuu
 
Tatizo mnataka kuishi maisha ya juu..
JAMANI wanaume nao ni watu wanachoka na mwenyewe
 
Nimesema machache tu mkuu. Mshahara wangu ndo unalisha wazazi wangu , kulipa bills zao na ninakatwa bima yao na ya mkwe pia kwahiyo kinabaki kiasi kidogo cha fedha ambacho ndo tunatumia kwa pamoja na yake kwa familia.
Sorry,kama nimekusoma vizuri pale juu main post umejinasibisha kama mtoto wa pili kuzaliwa kwa wazazi.

Obviously kutakuwa na wa kwanza na wa tatu and + sasa hawa wengine wako wapi?wewe sasa una familia yako una maisha yako tafuta namna ya kugawana majukumu angalao wakuachie la afya mengine madogo madogo wayamalize wao.
 
Naombeni ushauri jamani mimi ni mtu mzima nina 40+ nashindwa kuomba ushauri wa rafiki zangu mana ndo yataenezwa.

Nadhani ninaweza pata depression kama ningebaki navyo moyoni kichwa kinauma kwa kuwaza.

Naombeni ushauri tafadhali.
Wanawake mnakuwaga soo concern na material things in such a way inapoteza meaning of life.
 
Mshahara wako 2.3m
Mshahara wa mume 800k
Ada alipe mume wewe ulipe nauli na uniform.
Umri 40+
Kitendo Cha kumzidi mume mshahara tu kila atakalofanya mwanaume kwako halina maana kiufupi lazima ulazimishe mwanaume afanye unavotaka wewe.
Lazima uwe na stress kwa sababu shida Wala sio hizi ulizoeleza shida ni mwanaume amegoma kuendeshwa ni kwamba Kuna namna unataka mwanaume afanye kwa mawazo yako, Kama unabisha inaingiaje akilini watu wenye 40+ washindwe kuelewana ndani ya nyumba mpaka uandike kuomba msaada online!
Jibu ni kuwa wote mnajiona kichwa wa familia.
Hebu kuwa mke wa familia Kama utapata stress.
 
Kwanza achana na hofu unaonekana upo kwenye hufu kubwa kwa hili nakushauri fanya mazoezi ya yoga na meditation ili kufungua sehemu yako ya kati inaonekana imefunga kwa hofu hii ndio inakufanya hushindwe kutatua na kufikiri vyema.
Pili, kubali ya kuwa mnatofautiana uwelewa baina yenu na hii sio tatizo maana malezi yanatofautiana. Umesema mumeo ni mtoto wa mwisho hii inamaanisha malezi yake pengine yalikua niyakudekezwa zaidi hakupewa muongozo wakujitegemea kubali hili kwanza. Hivyo waweza kuwa muongozo kwake, pia usitumie sauti ya juu wakati mnajadili haya kutaleta tatizo zaidi.
Tatu kumsomesha mtoto shule za bei kubwa isiwe fashion ili kuwaimpress marafiki au kjivuna mbele za watu ishi ndani ya kipato chenu shule namba moja ni nyumbani kama mambo ya lugha waweza mfundisha kuanzia nyumbani masna sisi wengine tumesoma saint kayumba ila nikiwa msingi tu nilikua naweza kuongea na kuelana na mtu anayezungumza kingereza kirahisi vizuri na somo la lugha nilifanya vizuri pia shuleni kilichonisaidia ni elimu ya awali nilisoma hizo shule na nyumbani nilipata support yakutosha ingawa wazazi hakujua kingereza sana ila waliniunga mkono kwa nyenzo za elimu mbalimbali.
Tatu kuhusu biashara. Kwanza biashara niuwanda mpana maana ajira pia ni sehemu ya biashara maana unauza ujuzi wako na hapa mwenyewe ujanja wakujiongeza huweza kuuza kwa bei kubwa kuliko mwengine licha ya kuwa na cheti chenye cv sawa. Hivyo unaweza kuangalia ni bishara gani inaweza ikawa na low risk kwenu ili himvutie mwinzi wako pengine ni muoga zaidi wakujaribu vitu vipya. Kama hutojali kupitia kazi yake pia anaweza kifanya boashara mf. Kama anafanya kazi ya ujenzi anaweza akafanya kazi ukuuza duka la vifaa hivyo.
Pia unaweza kuanzisha wazo la biashara huipendayo na ukaianzisha hata kwa udogo huku ukimshirikisha taratibu pengine baada ya muda anaweza kuvutiwa na baada ya hapo anaweza kua msaada mkubwa hii niliwahi kufanya kwa aliyekuwa mpenzi wangu nilimshawishi kufanya kazi ila hakutaka ila baada yakufungua duka la bidha za majumbani nikalifanya baadae akaniunga mkono na akalifanya kwa ubora mwishoni nilimwachia na bado hanaliendeleza na ananishukuru licha ya kutengana bado tunawasi na anashukuru kwa hilo.
Pia kuna biashara za muda mrefu mf. Kununua mashamba au viwanja vya bei nafuu baade vitapanda bei nakuwa na dhamani ya juu. Vuta picha fedha ambayo ungeweza kumlipia ada mwanao madhalani 2.5M per year na badala yake ukatumia 1M kwenye elimu yake then iliyobaki ukanunua hekari moja au mbili kila mwaka na kuzipanda miti ya mikorosho, au mazao mengine kama viungo, minazi, nk baada ya miaka kumi utakua umempa kiasi gani cha uridhi mwanao hatakuwa na haja ya kutafuta kazi. Elimu huanzia nyumbani AI zipo kuturahisishia mambo.
Nimechoka kuandika jamani kwa zaidi PM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom