umemchezea na sasa umemwacha, kwa wanawake utafukuza wangapi sasa, siku zote wengi wanapojua wanaolewa lazima wachange coz kuna makucha wanakuwa wameyaficha kipindi cha uchumba, mwite na umweleze hupendi the way she behave na umwambie nataka kuishi na mwanamke kwenye tabia 1,2,3,4 hapo utakuwa umemsaidia asipobadilika then uchukue maamuzi magumu, zingatia muda nao unakwenda.