Futuristic 73
Member
- Aug 21, 2016
- 30
- 40
Nawaomba mnipokee ndugu zangu
vile vilivyokatazwa!Karibu sana, unatumia kinywaji gani?
ww sio mpyavile vilivyokatazwa!
karibu jisikie upo na great thinkersNawaomba mnipokee ndugu zangu
Naomba castle lagerKaribu sana, unatumia kinywaji gani?
Karibu sana jf.
I am allergic to themUna angaliaga bongo muvi? Kama huangalii karibu.
That was not me actually,it was my friend's probMkuu bado upo spare tire kwa yule demu wa mtu?
Mimi na yeye tuko njia panda
Karibu mgeni angalau unajua hata ku quote na ku reply comments za watu haraka utadhani mwenyeji wa humu siku zoteNaomba castle lager
AsanteeKaribu mgeni angalau unajua hata ku quote na ku reply comments za watu haraka utadhani mwenyeji wa humu siku zote
Mkuu karibu sana...Nawaomba mnipokee ndugu zangu