I ain't your mama

Mjomba we mzungu???? .
Umeona wapi mtu anaachwa kwa sababu ya wimbo? Kama sio ghubu hilo ni nini???
Hayo maneno sijapati sanaa kutokana na jamii niliyozaliwa hawana maneno ya kiswahili sanaa
 
Wimbo umeimbwa na JLO huo
Mmh wewe kisirani mbona sioni shida hapo
Kama alikukwaza ungekaa naye chini myamalize umekurupuka flani hivi mana hukutaka maelezo yake
Mkuu kama hilo limekufanya uachane nae!! Basi ukioa hutaweza kuishi na mke hata wiki moja..jirekebishe mapemaa
 
Ulimuuliza sababu ya yeye kupenda huo wimbo?
 
Bora umemwacha dada wa watu coz you don't deserve her
Humfai kabisa na wala hukumpenda atapata ampendaye
Mwanaume gubu na kisiran kaa nn
Sasa hapo kosa lake ni nn
Angekataa kwenda dukani ndo ungesema ana kiburi bt alienda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…