Hyundai rotem has won a bid to supply an electric train in Tanzania # source the citizen news

Ndugu bullet train zimeanzia mbali.
Japan walianza kuunda train zinazowexa kukimbia 135km/hr to 180km/hr mwaka 1994 km sijakosea.
Wakaboresha now wameunda kuanzia 200km/hr kwenda 350km/hr.
Hiyo kuleta kuhusu 150miles/hour to 250 miles/hour hizo ni za sasa hv.
Ila ukitaka nakuletea hapa evidence kwamba zilianza hizo nilizokutajia.
Hiyo screenshot nilokuletea isikufanye unitoe akili kuwa sijui tofauti ya miles na kilometres Broddah.
Bali naweza sema nilikurupuka kuituma.
Japan walianza kuunda bullet train 1964 sio 1994.
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚sasa ya Tanzania utaiweka kwa hiyo bracket eti? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ na maximum yenu inasemekana eti itakua160! (yaani bado, "ita") of which 160km/h haiwezi kukua average speed πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚, yenu ni between 80-130 average, wacheni kujitekenya na kucheka wenyewe, πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ bullet ni between 150 and 250 or beyond average., kama passenger train ya Morocco.,

Khaa wewe hizo zinazotembea 80km/hr to 130km/hr mbona tunazo zinaenda Arusha na kurudi tena za MGR???
Na zingine zaelekea Mwanza??
Tunaziita deluxe train huku bongo na mara ya mwisho nimepanda kuelekea Tabora ilitembea mwendo wa 95km/hr km average speed.
Unachekesha ww.
 
sasa ya Tanzania utaiweka kwa hiyo bracket eti? na maximum yenu inasemekana eti itakua160! (yaani bado, "ita") of which 160km/h haiwezi kukua average speed , yenu ni between 80-130 average, wacheni kujitekenya na kucheka wenyewe, bullet ni between 150 and 250 or beyond average., kama passenger train ya Morocco.,
Kwahiyo hiyo mitungi yenu ya chang'aa itakua na "average speed ya 30 to 70km/hr sio?
 
Khaa wewe hizo zinazotembea 80km/hr to 130km/hr mbona tunazo zinaenda Arusha na kurudi tena za MGR???
Na zingine zaelekea Mwanza??
Tunaziita deluxe train huku bongo na mara ya mwisho nimepanda kuelekea Tabora ilitembea mwendo wa 95km/hr km average speed.
Unachekesha ww.
Vichwa vya MGR vyenyewe vinapiga mpaka 120kph na hivi mgr yetu ni continuous welded after upgrading na axle tonnage imeongezrka tola 18 mpaka 25tons per axle at per with Kenyan SGR mbona kazi ipo.
 
Ndio nimemuelezea hapo kwamba zile deluxe train speed range yake
Vichwa vya MGR vyenyewe vinapiga mpaka 120kph na hivi mgr yetu ni continuous welded after upgrading na axle tonnage imeongezrka tola 18 mpaka 25tons per axle at per with Kenyan SGR mbona kazi ipo.
Yani treni luxurious kabisa.
Sipatii picha SGR ikianza kaz tren zake zitakua na ubora gani.

Screenshot_2021-10-01-18-39-28-1.png

Screenshot_2021-10-01-18-41-21-1.png
 
Kwani bullet train ni nini?
Ili train iitwe bullet train inatakiwa iwe na sifa gani?
Bullet train is a train which reaches a speed range of 150km/h-200km/h and above.
Asa ninyi mnanyekanyeka nn?
Kinachoangaliwa ni speed je ipo kwenye range?Hakiangaliwi muundo we nyangau.
Bullet Train

1.jpg
 
Ndugu bullet train zimeanzia mbali.
Japan walianza kuunda train zinazowexa kukimbia 135km/hr to 180km/hr mwaka 1994 km sijakosea.
Wakaboresha now wameunda kuanzia 200km/hr kwenda 350km/hr.
Hiyo kuleta kuhusu 150miles/hour to 250 miles/hour hizo ni za sasa hv.
Ila ukitaka nakuletea hapa evidence kwamba zilianza hizo nilizokutajia.
Hiyo screenshot nilokuletea isikufanye unitoe akili kuwa sijui tofauti ya miles na kilometres Broddah.
Bali naweza sema nilikurupuka kuituma.
Tokaido Shinkansen - First bullet train in Japan. Built in 1964. Speed - 240 - 320kph. Najua umesoma mahali 150 - 200mph ukachanganyikiwa. mph ni miles per hr. Multiply it by 1.6 and you'll get the speed in kph.
 
Huo mjadala tulishaufunga na jamaa juu

Na nikasahihisha usiwe unasoma kwa kukurupuka buddah.
Hizo unazosema ww zakimbia kuanzia 200 mk/hr ni maglev na maglev ni contemporary invention huo mwaka Japan ilikua ina reli za Standard gauge sio magnet levelation buddah.
Hiyo 150 mile/hr to 200m/hr ni sawa na speed ya 250km/hr mpk 400+km/hr.
Na nikamwambia bro hapo kuwa nilikosea kuikopi hiyo article..
Soma hapo chini.
Nadhan maana ya "upto " unaieleweka kaka.
Maximum speed yake huko 1964 ilikua ni 200km/hr ibadilishe kwenda ktk miles itakua 125miles/hr.

Screenshot_2021-10-01-22-04-36-1.png
 
Ila wakenya wakubalii tuu walipigwa kwwnye huo mradi wao wa sgr, kidogo kwwnye vituo vyao pesa ilionekana imefanya kaz lakini huko kwinginee ni mauuaji tuu
Ah Kenya ktk miundombinu ya majengo marefu nawapa kongole.
Upangaji wa mji nawapa hongera.
Ila kaka ktk hizi sgr locomotives zao hapana hapa wajitafakari wameingia mkenge.
Mie napata update kuhusu TRC aisee bro wanaboresha kila upande na kinachofanya sisi engine tulizonazo zisiende mwendo stahiki ni kwasababu ya uchakavu wa reli.
Ila sasa hv reli inafumuliwa na inajengwa ambayo itaweza kukidhi uzito na mwendo wa engine husika.
Ukiulizia jina la KIPPAYA TRC utapewa historia yetu hapo maana ukoo mzima tumelelewa na shirika la reli ndiomaana napafuatilia na kupakubali sana.
 
Wamefikia wapi kwwnye kuboresha relii ukoo
 
Huo mjadala tulishaufunga na jamaa juu

Na nikasahihisha usiwe unasoma kwa kukurupuka buddah.
Hizo unazosema ww zakimbia kuanzia 200 mk/hr ni maglev na maglev ni contemporary invention huo mwaka Japan ilikua ina reli za Standard gauge sio magnet levelation buddah.
Hiyo 150 mile/hr to 200m/hr ni sawa na speed ya 250km/hr mpk 400+km/hr.
Na nikamwambia bro hapo kuwa nilikosea kuikopi hiyo article..
Soma hapo chini.
Nadhan maana ya "upto " unaieleweka kaka.
Maximum speed yake huko 1964 ilikua ni 200km/hr ibadilishe kwenda ktk miles itakua 125miles/hr.

View attachment 1959698
Hakuna Maglev in operation in Japan. Wewe ndio mkurupukaji alafu unaniita mkurupukaji. The only Maglev in Japan is currently under construction. Hujielewi.
 
Wamefikia wapi kwwnye kuboresha relii ukoo
Mbona mpk Tabora ishakarabatiwa kaka?
Ukarabati ulikua ni kukarabati km 970 mpk sasa zimekarabatiwa km 740 bimaana Dar-Tabora.Hakuna reli ile chakavu tena.
Wamefikia wapi kwwnye kuboresha relii ukoo
Kuna picha hapa kutoka blog ya reli tv .
Kuna ya kwanza hiyo ni reli ilotolewa na ya pili ndivyo reli ilivyo sasa.

Screenshot_2021-10-01-23-06-36-1.png

Screenshot_2021-10-01-23-05-35-1.png
 
Halafu mzee kanionesha hii kitu kwenye blog ya reli tv asa sijui ndio tunaletewa hizi kwaajili ya EMU??
Maana mpk chapa ya TRC imewekwa.

View attachment 1959784
Mkuu mbona hii kitu inajulikana tayari, vijana wanasubiri mzigo wa awali uwasili bandarini mda wowote toka sasa....

BTW, Antonov AN- 225 Mriya inaweza kuleta EMU zetu za mwanzo in just 3 consignments instead ya kutumia port of Hamburg ambayo itachukua mda mrefu, we are itching to break the damn record around here:)
 
Vitu vya JPM. Mnasema vya mama. Wacheni hizo. Mama ajaanzisha mradi wo wote ule. KaI ya mamaa ni kazi iendelee
 
Ila wakenya wakubalii tuu walipigwa kwwnye huo mradi wao wa sgr, kidogo kwwnye vituo vyao pesa ilionekana imefanya kaz lakini huko kwinginee ni mauuaji tuu
Kwani ukitaka kumtapeli mtu si unamuaminisha maeneo ambayo yanaonekana sana kwa macho. Watu wakiona vile vitu wanajua mambo ni mazuri kumbe unapigwa jikoni kabisa kwenye umuhimu mkubwa. Hivyo wachina wamefanya kwenye sgr ya kenya unaweka urembo usoni lakini ndani uozo mtupu.
 
Back
Top Bottom