Hyundai rotem has won a bid to supply an electric train in Tanzania # source the citizen news

Majirani muwe na aibu kidogo, picha mlizotupia ni tofauti na hiki mnachosema leo, halafu duh hivi huu mradi bado upo? Kweli nyie ndio Wabongo.....yaani wazembe balaa

hqdefault.jpg
 
Naona wakunya wanatoa machungu tu humu utadhani sisi ndo tuliwashahuri wanunue mitungi ya changaa

Tanzania SGR vs Upgraded MGR (mitungi ya changaa).
 
Huyooo ashatumwa kuvuruga mada,
Machungu mpelekee yule aliyewajengea mitungi ya changaa karne hii ya 21.

Ona wenzako wanavyo lia:

"Hyundai electric trains that will be used by Tanzania's SGR .

Here in Kenya , is a dumping site for Chinese 1900 BC steamships.

#Sad ."

"Such news really hurt when you remember that our diesel one, which is even shorter distance costed us more than it costs to build for Tz"

"Sometimes i wonder who bewitched Kenyans when will Kenyans be serious on what they are doing but what brings hope is that they get serious when stealing and looting money now how can we explain in future that our SGR of this century that was built by trillions of money uses diesel not even petrol this country should be disbanded and everyone go where he or she wants to"
 
Kijana unaonekana hata shule hujaenda

Train na railway ni vitu viwili tofauti.

Reli yetu ni class A yenu sidhani hata C imefika

Wakati wowote tunaielectrify

Nyinyi stesheni vibanda, reli class C, mizigo hakuna, train zenyewe kubahatisha.

Haha mmepigwa
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom